Je, ni sahihi Diamond kutumika kwenye Kampeni ya TUPO WANGAPI?

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Majuzi kijana huyu nguri katika tasnia ya muziki wa kisasa Diamond alionekana kwenye vyombo vya habari akitumbuiza (Kutoa elimu kwa wana jamii) katika kampeni ya elimu ya UKIMWI ya TUPO WANGAP?. Kwa upande mmoja inaweza kutetewa kuwa kwa sasa ni mmoja wa watu wenye nyota ya kuweza kukusanya umati mkubwa wa watu. Lakini tukienda kwenye uadilifu, je, kumtumia Diamond ni sahihi ukilinganisha na matukio ya kashfa za ngono aliyonayo ya kugonganisha wanawake kila uchao?

TAFAKARI.
 
duuh hii kweli ndo ile wanayosemaa mchawi wako mkabidhi mtoto amleee
 

...............loading...................
 
Do as I say, but not as I do.
 
Kama Ney mwenyewe alimuuliza hiyo ni tabia gani ya kuchanganya mabinti kama kokote iweje yeye aje kutoa somo la tupo wangapi? Kama mimi ningekuwa mfadhili wa mradi huo, haraka ningewanyang'nya pesa yangu.
 
Usifuate matendo yangu
Fuata maneno yangu

Ondoa boriti katika jicho lako
Ndipo uone kibanzi kidogo katika jicho la mwenzako.......
 

hili ni jukwaa husika kwa mada yako uloyoiweka???????????????
 
kafie gheto kama huwez kujichunga na kujicontrol mwenyewe had upewe tangazo la 2po wangapi we ni boya.usiish kwa kutegemea matangazo acha umbuu....la
 
Tutolee uzi wako hapa peleka kwenye jukwaa la mapenzi hapa tunajadili Elimu huyo diamond hana mchango hapa!
 
Ni sawa tu cz inatakiwa usikilize na kufanyia kaz kile kizuri anachokuambia mambo yake mengine we achana nayo
 

Nenda kamuulize heaven on desert
 
Last edited by a moderator:

Nadhani wamemchukua diamond ili kuwa na picha kamili ya kuonesha jinsi mtandao ulivyomkubwa kiuhalisia kwa watu kupata uhalisia wake.
 
We fffala kweli! toa ushamba wako apa! PELEKA MADA ZAKO ZA MAPENZI KWENYE JUKWAA HUSIKA. Hapa ni ELIMUTU BABUEEEEEE........... Ustuchafulie jukwaa okey? PUMMBAVU!!
 
Kama ni ushoga ni huko kwenye jukwaa lenu la mashoga!!! SCHUPIDI!!
 
Ni sahihi kabisa kwani kuna hii kanuni 'FUATA MANENO YANGU, USIFUATE MATENDO YANGU' wenzio wanakwambia Chukua za mbayuwayu Changanya na Zako!
 
Kama Ney mwenyewe alimuuliza hiyo ni tabia gani ya kuchanganya mabinti kama kokote iweje yeye aje kutoa somo la tupo wangapi? Kama mimi ningekuwa mfadhili wa mradi huo, haraka ningewanyang'nya pesa yangu.

ukiwa na sababu zipi za msingi?

hebu tutajie mwanadamu mkamilifu ambaye alistahili kuwa katika kampeni hii!

kijana hebu fikiria, mpaka sasa uko katika umri huu umeshapita na wenza wangapi?

there is no man who is perfect, kama wewe si mzinzi basi utakuwa muongo kama si muongo basi utakuwa mwizi, mchonganishi n.k!

mwache kijana afanye kazi kwa nafasi aliyonayo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…