Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 489
Majuzi kijana huyu nguri katika tasnia ya muziki wa kisasa Diamond alionekana kwenye vyombo vya habari akitumbuiza (Kutoa elimu kwa wana jamii) katika kampeni ya elimu ya UKIMWI ya TUPO WANGAP?. Kwa upande mmoja inaweza kutetewa kuwa kwa sasa ni mmoja wa watu wenye nyota ya kuweza kukusanya umati mkubwa wa watu. Lakini tukienda kwenye uadilifu, je, kumtumia Diamond ni sahihi ukilinganisha na matukio ya kashfa za ngono aliyonayo ya kugonganisha wanawake kila uchao?
TAFAKARI.
TAFAKARI.