Utauwawa mapema sana.Let say father umepiga 15m
wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
Tatizo hujui hesabu,Yani mkipiga vibunda vyenu uko mnaelekeza kwenye Account moja ya kibenki,
kama ni mishahara yote ikiingia mnaihamishia kwenye Account Moja fast.
Let say father umepiga 15m
wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
Kwa wenye akili timamu hufanya hivyo.Yani mkipiga vibunda vyenu uko mnaelekeza kwenye Account moja ya kibenki,
kama ni mishahara yote ikiingia mnaihamishia kwenye Account Moja fast.
Let say father umepiga 15m
wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
Hongera mkuu. Imani yako kwa mwenza wako ni kubwa sanaBinafsi tunafanya hivyo,nimempa access ya kuwa anatoa hela yeye maana tulifungua acc ya kutolea pesa ndani...so identity tunatumia zake..japo acc inabeba pesa za wote wawili...
HA ha ha ha yaaan kuna ufala hata kuuwaza kijana wa kiume hatakiwi kuwaza kbs sasa mipango ya miaka 50 itajuwaje kwa vijana kama hawa wapumbavu hiviii wewe wajibika kwa mshahara lea familia kwa kile ukichojaaliwa na mke akiweka au akikupa kwa mapenz kula wala usirud nyuma ile neno pamoja acha ukichaaYani mkipiga vibunda vyenu uko mnaelekeza kwenye Account moja ya kibenki,
kama ni mishahara yote ikiingia mnaihamishia kwenye Account Moja fast.
Let say father umepiga 15m
wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
Vijana wakipewa jagina kidogo na mauno ya hapa na pale akili zinareboot!!!HA ha ha ha yaaan kuna ufala hata kuuwaza kijana wa kiume hatakiwi kuwaza kbs sasa mipango ya miaka 50 itajuwaje kwa vijana kama hawa wapumbavu hiviii wewe wajibika kwa mshahara lea familia kwa kile ukichojaaliwa na mke akiweka au akikupa kwa mapenz kula wala usirud nyuma ile neno pamoja acha ukichaa
Ukiona mwanaume hana uwezo wa kutawala pesa na uchumi kiujumla.Anguko lake lipo karibu.Hapana sio sahihi kuwa na akaunti moja ya kuhifadhia pesa. Tunaposema kuhifadhi pesa ni Jambo Pana Sana, kuhifadhi pesa Kwaajili ya nini?, kuhifadhi kwaajili ya akiba au Dharura au Uwekezaji wa mbeleni?. Kama mnaamua kuwe na akaunti ya kuhifadhi pesa basi iwe na malengo maalum, kiasi Fulani let say 10% au kiasi Fulani cha kipato kinatengwa na kinachangiwa na wanandoa wote wawili Kwa usawa Kila mwezi kwaajili ya lengo lenu, Familia lazima iwe na akaunti za Akiba, Dharura nk. Si afya akaunti ya mshahara au ya kuingiza kipato chako ndio iwe akaunti ya kuhifadhi pesa zenu wote...