Je ni sahihi fungu la kumi kununulia divai/ kileo kama Biblia ilivyoagiza?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Katika Sheria ya Musa kwenye Biblia (Kumbukumbu la Torati 14:26), Waisraeli waliambiwa kutumia fedha za fungu lao la kumi kununua chochote kilichotamaniwa na roho zao, kutia ndani ng'ombe, kondoo, divai, au kileo, ili wakule na kufurahi mbele za Bwana

Kumbukumbu la Torati 14:22
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.

Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26

[24]Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako;
And if the way be too long for thee, so that thou art not able to carry it; or if the place be too far from thee, which the LORD thy God shall choose to set his name there, when the LORD thy God hath blessed thee:
[25]ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako;
Then shalt thou turn it into money, and bind up the money in thine hand, and shalt go unto the place which the LORD thy God shall choose:
[26]na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng’ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;
And thou shalt bestow that money for whatsoever thy soul lusteth after, for oxen, or for sheep, or for wine, or for strong drink, or for whatsoever thy soul desireth: and thou shalt eat there before the LORD thy God, and thou shalt rejoice, thou, and thine household,
 
Attachments

  • 1786526146423.gif
    1786526146423.gif
    42 bytes · Views: 10
  • 1786526146565.gif
    1786526146565.gif
    42 bytes · Views: 7
  • 1786526146612.gif
    1786526146612.gif
    42 bytes · Views: 8
  • 1786526146704.gif
    1786526146704.gif
    42 bytes · Views: 8
Hela za wajinga ukizipata usiulize, we piga tu ulabu.
Sasa fungu la kumi si wizi huo? Wewe uliona wapi benki ya Mungu?
 
Katika Sheria ya Musa kwenye Biblia (Kumbukumbu la Torati 14:26), Waisraeli waliambiwa kutumia fedha za fungu lao la kumi kununua chochote kilichotamaniwa na roho zao, kutia ndani ng'ombe, kondoo, divai, au kileo, ili wakule na kufurahi mbele za Bwana
Kama na nyama choma au Mchemsho vitakuwepo ni sawa sana...maana Divai bila kushushia nyama ni hatari tumboni..
 
Hiyo mistari ya chini haisisitizwi sana kama "..usiache kutia zaka".
 
Katoliki pombe ruksa Lakini pia Yesu alikuwa mnywaji mzuri tu wa pombe Ila wanasema kunywa usilewee🤔

Wewe huyo jamaa wa kuitwa Yesu achana nae. Niliona movie hizi za wakristo wenyewe we, jamaa alikuwa msela ngumi jiwe. Kuna sehemu walimwonyesha yeye na washkaji zake walipiga mateke meza za wamachinga sokoni wakawachapa ngumi. Yule jamaa ukiniambia alikuwa mtu wa tungi sibishi
 
Kama Yesu kama Komando
 
Katika Sheria ya Musa kwenye Biblia (Kumbukumbu la Torati 14:26), Waisraeli waliambiwa kutumia fedha za fungu lao la kumi kununua chochote kilichotamaniwa na roho zao, kutia ndani ng'ombe, kondoo, divai, au kileo, ili wakule na kufurahi mbele za Bwana

Kumbukumbu la Torati 14:22
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.

Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.
[24]Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako;
And if the way be too long for thee, so that thou art not able to carry it; or if the place be too far from thee, which the LORD thy God shall choose to set his name there, when the LORD thy God hath blessed thee:
[25]ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako;
Then shalt thou turn it into money, and bind up the money in thine hand, and shalt go unto the place which the LORD thy God shall choose:
[26]na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng’ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;
And thou shalt bestow that money for whatsoever thy soul lusteth after, for oxen, or for sheep, or for wine, or for strong drink, or for whatsoever thy soul desireth: and thou shalt eat there before the LORD thy God, and thou shalt rejoice, thou, and thine household,
Ifike mahali tuzingatie maandiko ambayo yaliandikwa mahususi kwaajili ya jamii yetu. Sasa kuhoji maandiko waliyoandikiwa wana wa Israel, Mambo ya Walawi, Wathesalonike na Wamisri hayana tija kwetu.

Sisi tushughulike na maandiko ambayo yana tija kwetu kama vile Katiba ya nchi yetu, Kitabu kilichoandikwa na Baba wa Taifa Uongozi wetu na hatma ya nchi yetu, Azimio la Arusha, Azimio la Musoma and the alike.

Naamini hayo na mengine yaliyoandikwa nchini ndiyo yanasadifu uhalisia wa maisha yetu na ndiyo yenye tija kwa ustawi wa Taifa letu na watu wake.
 
Injili ya Bujibuji Simba Nyamaume
 
Bro kumbe na wewe unavijua hivi vitabu? Mimi niliviacha njiani kwasababu niko critical sana. Hakuna mtu atanibeba ufala so easy. Ndio maana nikamwambia Maxine alivyokuja na tangazo update ya hii app, jaribu kutuwekea live version kidogo. At least voice hapo we can debate live and learn. Tumepigwa bao na watoto wa tiktok wakati sisi tulikuwa hapa kabla ya Facebook
 
President wenu juzi mbele ya Dunia anatubeba ufala eti hatusomi Masaaf wala Bible mnaongea kuhusu hiki kijitabu cha katiba? Mimi maisha yangu yote sijawahi kukutana mastupid kama waafrika
 
Back
Top Bottom