Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?

Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Hakuna Mkristo anayeweza kuuliza swali la kijinga namna hii! We ni mvaa kobazi na tunajua jibu unalotafuta. Sasa nakujibu: NI SAHIHI
 
Kwamba ukiumwa hurusiwi kuongezewa damu na mtumiaji wa kitimoto.
 
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Waislam wanakuka sana hii kitu labda usrme wasabato
 
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Kama hicho chombo kikioshwa vzr kuondoa shombo ya kitimoto hakuna shida mkuu
 
Wanatafuna hadi miguu ya kitimoto,ila tu usiwaambie ndugu zake
 
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
...Kimuingiacho Mtu Sio Najisi....KIMTOKACHO Mtu ndio Najisi ! Maana Kwa Mtu ndio hutoka Wizi, Wivu, Ulafi, Uzinifu, UONGO, Uuaji na Kadhalika, maana hayo yatoka Moyoni Kwa Mtu wakati Kitimoto kinaishia Tumboni TU ! [emoji846]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom