Baki njia kuu, michepuko siyo diliWakuu,
Yamenitokea
Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia
Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku
Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni damu ya period
Wakuu nifanyaje???
Cc Binti Sayuni03
Umenichekesha sana aisee😁😁😁Damu zikamwagika holoholoholohoholooo
😁😁😁🙌vijana tunaowategemeaNgoja nisubiri wajuzi mm mwenyewe juzi niliula tena kwa makusudi naambiwa niko p najali sasa ile kuchomoa kitu aisee niko km nimechinjwa
Haha jirani hujambo lakiniUmenichekesha sana aisee
Huyu anajua mimi napenda chai ndiyo maana kanitag😁😁Wakemia wa serikali mliokubuhu msije mkaanza kutuambia how does it smell... muogopeni muumba.
Ila shemeji Binti Sayuni03 ndio utagiwe wewe kweli? Hahahahhaha Ana njooo
Sijambo jirani vipiHaha jirani hujambo lakini
Ebu mjibu kiimaniUnauliza ni sahihi kiafya, kiimani au kiutamaduni??