Lakni tuko tayari kuona mkuu wa nchi na mtawala wa chama fulani akihutubia kikabila majukwaani. Tusubiri kuona kila mwanasiasa atakapoanza kuhutubia kikabila majukwaani na yeye.RC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
Huwezi elewa umuhimu wake wewe kwakuwa mumeo ndio huwa anashuhilikia matatizo yenuRC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
RC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
Huyo umempa za USO ni heri yake ya krismas mijitu ya Lumumba sijui inafikiri kwa kutumia nini?Lakni tuko tayari kuona mkuu wa nchi na mtawala wa chama fulani akihutubia kikabila majukwaani. Tusubiri kuona kila mwanasiasa atakapoanza kuhutubia kikabila majukwaani na yeye.
viashiria vya ukabila?!? Amino nakwambia tukianza uoga wa gredi hiyo kuna siku tutaanza kutawanyisha watu kuwapeleka mikoa tofauti kwenye makabila tofauti kwa sababu hizohizo za kuhofu ukabila. Sioni sababu ya kuhofu wachaga laki mbili walioko manyara usihofu mamilioni ya wachaga walioko Kilimanjaro wanaokaa pamoja. Kwa mbaaali naona maneno ya mwalimu yanaanza kutimia ukionja nyama ya MTU........!!!RC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila

madhara hayo ni yapi?!? Hebu mtutajie hata moja tu!!!. Kwa mfano wahaya nimewajua miaka mingi sana na vikundi vyao hivi sijawahi kusikia hata maramoja eti wanahatarisha hiki au mile zaidi ya kusaidiana kusafirisha marehemu kurudi kuzikwa kwao kagera au kukusanyika kucheza ngoma zao. Hizi hofu zinatupeleka pabaya tutaparanganyisha kila kiti matokeo yake wananchi nao wataanza kuwa na hofu na serikali yaogango2,
Kimaono yuko sahihi ila kimkakati hayuko sahihi,madhara ya vikundi vya ukabila ni makubwa mno.