Kama huna jicho la mile 1000 mbele huwez ona madhara yake,by the way kwa nini iwe umoja wa wasukuma tu? why isiwe umoja wa wasukuma+wayao+wachaga+wagogo?madhara hayo ni yapi?!? Hebu mtutajie hata moja tu!!!. Kwa mfano wahaya nimewajua miaka mingi sana na vikundi vyao hivi sijawahi kusikia hata maramoja eti wanahatarisha hiki au mile zaidi ya kusaidiana kusafirisha marehemu kurudi kuzikwa kwao kagera au kukusanyika kucheza ngoma zao. Hizi hofu zinatupeleka pabaya tutaparanganyisha kila kiti matokeo yake wananchi nao wataanza kuwa na hofu na serikali yao
Utoto unakusumbua, hekima no muhimu.Ukiwa mkuu wa mkoa unaruhusiwa kuvunja katiba ya nchi?. Kwani kujumuika ni haki ya raia wa nchi hii.
Kama hawavunji sheria kwa nini kuwakataza watu wasijumuike wanavyoona inafaa.
Hakika RC huyu amejivisha nguvu za kuvunja haki za binadamu wenzake.
mkuu hakuzungumzia kabila kazungumzia watu kutoka kilimanjaroRC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
Hao walioruhusiwa makabila yao yana kipi kikubwa hadi yaruhusiwe kuanzisha vyama?RC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
Kama lengo ni hilo kwanini msianzishe hiyo ya makabila mengi kwanza kabla hamjapiga marufuku hii ya wachaga?Kama huna jicho la mile 1000 mbele huwez ona madhara yake,by the way kwa nini iwe umoja wa wasukuma tu? why isiwe umoja wa wasukuma+wayao+wachaga+wagogo?
tuambie hayo madhara tujue haiwezekani kila mmoja akajaliwa hilo jicho lako LA mile1000. Wewe ulijaliwa itumie hivyo tunu kuwafunulia wenzio unayoyaona huko. Mila na desturi za makabila yetu zinatofautiana pia mahitaji. Huo umoja wa wayao+wasukuma hautakidhi matskwa yao.Kama huna jicho la mile 1000 mbele huwez ona madhara yake,by the way kwa nini iwe umoja wa wasukuma tu? why isiwe umoja wa wasukuma+wayao+wachaga+wagogo?
Kwa kadri utakavyoongeza kabila jingine katika hiyo orodha yako pale utakapoishia inamaanisha wale wasiokuwemo utakuwa umewabagua.Labda useme kusiwe na umoja wa aina yoyote au kama utakuwepo basi iwe ni makabila yote dunia nzima. Na hilo haliwezekani.Kama huna jicho la mile 1000 mbele huwez ona madhara yake,by the way kwa nini iwe umoja wa wasukuma tu? why isiwe umoja wa wasukuma+wayao+wachaga+wagogo?
RC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
RC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
Namashaka na ubongo wakoRC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
Namashaka na ubongo wakoRC yupo sahihi kabisa. Nchi hii ni nchi yenye kufuata misingi ya umoja. Hatuwez kuruhusu viashiria vya aina yoyote ya ukabila
KWA AMEFUTA UMOJA AMBAO ULIKUWA UNASABABISHA HATA WANYONGE WANAOFIA HUKO PORINI WASHINDWE KURUDISHWA MAKWAO,..!
N.B;-HAPASWI KUINGILIA MAMBO YA KIJAMII YA AINA HII.
N.B;-AACHISHWE KAZI MARA MOJA,HAWAFAI WATANZANIA.