Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 797
- 2,314
Lete hizo pesa wewee acha longolongo!Yeye angekuta Baba yake Anazo angeomba nini
Mwanamke kupenda pesa hovyo ni umalaya kama ulivyo tangu hajajua yeye ni malaya
Mna jaa nyie kama baba zenu walikuwa nazo tusingekuta mmepauka ka kipande cha muogoLete hizo pesa wewee acha longolongo!
Tuache!! Za baba zetu watakula mama zetu!Mna jaa nyie kama baba zenu walikuwa nazo tusingekuta mmepauka ka kipande cha muogo
Unavyonikamua hivyo hujui mimi ni baba wa pisi kali ijayo.!
Wabinafsi wakubwa