Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

Yeye angekuta Baba yake Anazo angeomba nini

Mwanamke kupenda pesa hovyo ni umalaya kama ulivyo tangu hajajua yeye ni malaya
 
Lete hizo pesa wewee acha longolongo!
Mna jaa nyie kama baba zenu walikuwa nazo tusingekuta mmepauka ka kipande cha muogo

Unavyonikamua hivyo hujui mimi ni baba wa pisi kali ijayo.!

Wabinafsi wakubwa
 
Mna jaa nyie kama baba zenu walikuwa nazo tusingekuta mmepauka ka kipande cha muogo

Unavyonikamua hivyo hujui mimi ni baba wa pisi kali ijayo.!

Wabinafsi wakubwa
Tuache!! Za baba zetu watakula mama zetu!

Tutawakamu mno!

Na bado!😏
 
Sasa unataka waende kwa hoehae? Ni kama mwanamme anavyotafuta chimbo lenye hela nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…