Kuna kijana nataka nimnunulie boda boda anipigie kazi. Nimemwambia aje na mzamini na alete hati ya nyumba kama dhamana.
Sitaki masihara, hawa vijana huwa wanakuja mikono nyuma baadae anabadilika kama siyo yule.
Kama nakosea semeni nimpe masharti gani?