Je, ni sahihi kumpa pikipiki kwa dhamana ya hati ya nyumba?

Je, ni sahihi kumpa pikipiki kwa dhamana ya hati ya nyumba?

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Kuna kijana nataka nimnunulie boda boda anipigie kazi. Nimemwambia aje na mzamini na alete hati ya nyumba kama dhamana.

Sitaki masihara, hawa vijana huwa wanakuja mikono nyuma baadae anabadilika kama siyo yule.

Kama nakosea semeni nimpe masharti gani?
 
Back
Top Bottom