britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Wewe jamaa yako alishakuzuia?Ni sahihi kabisa kumkataza mpenzi (wa kike au wa kiume) wako kuvaa baadhi ya mavazi ambayo siyo ya stara, au hayana hadhi kuonekana machoni kwa watu wengine na ambayo ni ya "kihuni" (kwa wanaume) kama hayakupi amani moyoni.
Kuhusu picha za kupost mtandaoni ni sahihi pia kumwambia "picha fulani sijaipenda naomba uiondoe ". Ndiyo mapenzi hayo ili wote muwe kwenye right track asiwepo anayekereka na tabia za mwenzake huku zinawezekana kubadilishika.
Unajua tukisema kupangiana mavazi haimaanishi kumzuia tuu kuvaa mavazi yasiyositiri mwili. Inamaanisha kimzuia stail yoyote ya mavazi ambayo hayakufurahishi.Wewe jamaa yako alishakuzuia?
DuhYes, umuhimu upo. Kuna jamaa aliingia harusini na bukta na jezu ya basketball, akasema mbona nayo hii ni suti?
Ni sahihi kabisa kumkataza mpenzi (wa kike au wa kiume) wako kuvaa baadhi ya mavazi ambayo siyo ya stara, au hayana hadhi kuonekana machoni kwa watu wengine na ambayo ni ya "kihuni" (kwa wanaume) kama hayakupi amani moyoni.
Kuhusu picha za kupost mtandaoni ni sahihi pia kumwambia "picha fulani sijaipenda naomba uiondoe ". Ndiyo mapenzi hayo ili wote muwe kwenye right track asiwepo anayekereka na tabia za mwenzake huku zinawezekana kubadilishika.
Kimsingi tuanze kuhoji uvaaji wenyewe kabla hatujafika huko kwenye kukataza cha kuvaa. Kwa binti ambaye umekulia na kulelewa katika maadili yenye staha na kujiheshimu huwezi kutana na matatizo ya kurumbana na mpenzi wako.Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha
Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na nisahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
Naam Miss. Nimekupata.Unajua tukisema kupangiana mavazi haimaanishi kumzuia tuu kuvaa mavazi yasiyositiri mwili. Inamaanisha kimzuia stail yoyote ya mavazi ambayo hayakufurahishi.
Mfano "dera" linasitiri mwili lakini kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae wangu akiwa namba moja.
Magauni marefu, yanasitiri mwili lakini kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae.
Kuvaa nguo nyingi, kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae.
Suti ni vazi la heshima ila kuna wanawake hawapendi wapenzi wao wavae pasipo ulazima , mfano mimi.
Surual zile za kubwaga au pana za wanaume ni za heshima lakini kuna wanawake hawapendi wapenzi wao wavae.
Sijui kama unanielewa ninachojaribu kusema.
Mavazi unayoyaona siyo ya kustiri mwili huko mtaani, kuna wanaume ndiyo wanapenda akitoka na mpenzi wake ndio awe amevaa hapo ndiyo wanasikia raha, na siyo uvae kama unaenda kuimba kwaya kanisani. Hivo hamna kanuni.
Kwahiyo Mzee toboa sitakujibu kuhusu mimi ila nimejiskia kukupa hii, ila ukisoma vizuri utapata jibu.
Wakati mnatongozana ulimkuta na mavazi yapi?. Tuanzie hapo kwanzaKina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha
Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na nisahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
Hahahah we jamaako anaonekana anapenda usasa, uonekane sexy 🤣🤣🤣Unajua tukisema kupangiana mavazi haimaanishi kumzuia tuu kuvaa mavazi yasiyositiri mwili. Inamaanisha kimzuia stail yoyote ya mavazi ambayo hayakufurahishi.
Mfano "dera" linasitiri mwili lakini kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae wangu akiwa namba moja.
Magauni marefu, yanasitiri mwili lakini kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae.
Kuvaa nguo nyingi, kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae.
Suti ni vazi la heshima ila kuna wanawake hawapendi wapenzi wao wavae pasipo ulazima , mfano mimi.
Surual zile za kubwaga au pana za wanaume ni za heshima lakini kuna wanawake hawapendi wapenzi wao wavae.
Sijui kama unanielewa ninachojaribu kusema.
Mavazi unayoyaona siyo ya kustiri mwili huko mtaani, kuna wanaume ndiyo wanapenda akitoka na mpenzi wake ndio awe amevaa hapo ndiyo wanasikia raha, na siyo uvae kama unaenda kuimba kwaya kanisani. Hivo hamna kanuni.
Kwahiyo Mzee toboa sitakujibu kuhusu mimi ila nimejiskia kukupa hii, ila ukisoma vizuri utapata jibu.
Huyo mwanamke wa kumpangia hivyo labda uwe umemzidi kila kitu na yeye na familia yake wanakutegemea 100% !!! Hawa watoto wa kileo mtaishia kubishana tu...Kimsingi tuanze kuhoji uvaaji wenyewe kabla hatujafika huko kwenye kukataza cha kuvaa. Kwa binti ambaye umekulia na kulelewa katika maadili yenye staha na kujiheshimu huwezi kutana na matatizo ya kurumbana na mpenzi wako.
Kwann uvae mavazi ya kushawishi na ukijua wazi yatavutia na kuwapa mfadhaiko wanaume ambao wanatakufuata na kukutaka kimapenzi kisha uanze sema unasumbuliwa.....
Sijawahi kuona mwanamke mwenye uvaaji wa heshima akisumbuliwa ila hawa wavaaji viwalo vya kisasa mnavyoita ni fasheni....
Kuna mavazi na fasheni inatakuwa ujue tu kuwa zitakupita bila wewe kupita nazo..... Hii ni kwa wale wanaojua kuwa mbeleni wanafuture ya kuishi hivyo hawatafanya upuuzi leo utakaowaletea shida mbeleni.
Kwahiyo mwenzako kukukataza mavazi ya aina fulani na kukutaka ufute baadhi ya picha katika mtandao ni mojawapo ya namna ya kukwambia anataka ujieshimu usimharibie amani yake ya moyo...... Mbona tukizeeka hatuvai tena nguo za kuachia maungo ili makunjanzi na matumbo yetu ya uzazu yaonekane....!!
Ni busara na hekima tu humuweka mwanamke katika uhalisia wake....
Yangu ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app