Je ni sahihi kumpangia Mpenzi wako aina ya mavazi ya kuvaa na ambayo hapaswi kuyavaa? Ama kumwambia kufuta aina ya picha kwenye mitandao ya kijamii?

Ni sahihi kunipangia mavazi ila kabla hujanipa hizo sheria zako uhakikishe wewe kwangu ni mwanaume nanusu. Nitakutii
 
Back
Top Bottom