Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Wapo akina Lisu, Msigwa, Sugu, Mbowe, Slaa n.kWenye akili utawapata kwenye siasa?
Na ndiyo wanatuamulia mambo kila sikuBahati mbaya Mungu hakunyimi vyote. Wajinga wamenyimwa akili, ila wamejaliwa ujasiri. Na ndiyo maana hawa watu huwa wanajiamini sana.
Wakati watu wenye akili/werevu wakiamua kukaa pembeni na kujitenga dhidi ya mambo kama hayo ya kupiga kura, kushiriki kwenye siasa, nk! Hao wajinga utawakuta mstari wa mbele!!
Mbowe huyu huyu wa 150m?Wapo akina Lisu, Msigwa, Sugu, Mbowe, Slaa n.k
Wewe una akili?Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ?
Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi?
Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu siasa na maendeleo kuchagulia watu uongozi makini wa nchi?
Demokrasia ya wengi wape hata kama ni kundi la wajinga na wapumbavu limeamua ina afya kwa taifa au upuuzi ?
Kwa kutumia mtazamo wa kidunia sio kitaifa pekee.
Kwani Tanzania kuna Uchaguzi? Au kuteuana?Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ?
Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi?
Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu siasa na maendeleo kuchagulia watu uongozi makini wa nchi?
Demokrasia ya wengi wape hata kama ni kundi la wajinga na wapumbavu limeamua ina afya kwa taifa au upuuzi ?
Kwa kutumia mtazamo wa kidunia sio kitaifa pekee.
"Changamoto kubwa iliyopo katika ulimwengu wa sasa ni kwamba, watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na Siasa, hivyo, watu wasiokuwa na akili wamepewa mamlaka ya kuwatawala watu wenye akili na watu wasiokuwa na akili."Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ?
Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi?
Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu siasa na maendeleo kuchagulia watu uongozi makini wa nchi?
Demokrasia ya wengi wape hata kama ni kundi la wajinga na wapumbavu limeamua ina afya kwa taifa au upuuzi ?
Kwa kutumia mtazamo wa kidunia sio kitaifa pekee.
Si sahihi kuruhusu wajinga kuchagua kiongozi ila changamoto ni vigezo na nani wa kuamua yupi ni mjinga na yupi ana akili.Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ?
Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi?
Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu siasa na maendeleo kuchagulia watu uongozi makini wa nchi?
Demokrasia ya wengi wape hata kama ni kundi la wajinga na wapumbavu limeamua ina afya kwa taifa au upuuzi ?
Kwa kutumia mtazamo wa kidunia sio kitaifa pekee.
Bahati mbaya Mungu hakunyimi vyote. Wajinga wamenyimwa akili, ila wamejaliwa ujasiri. Na ndiyo maana hawa watu huwa wanajiamini sana.
Wakati watu wenye akili/werevu wakiamua kukaa pembeni na kujitenga dhidi ya mambo kama hayo ya kupiga kura, kushiriki kwenye siasa, nk! Hao wajinga utawakuta mstari wa mbele!!
Nadhani nzuri iwe management by objectives..... yaani majukumu yaainishwe then viongozi (bila kujali chama) waombe nafasi ya urais then kamati ya bunge ifanye consensus (sio kupiga kura) na kumchagua mmoja kuwa Rais/executive prime minister wa nchi.Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ?
Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi?
Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu siasa na maendeleo kuchagulia watu uongozi makini wa nchi?
Demokrasia ya wengi wape hata kama ni kundi la wajinga na wapumbavu limeamua ina afya kwa taifa au upuuzi ?
Kwa kutumia mtazamo wa kidunia sio kitaifa pekee.
Tatizo ni kwamba bungeni kwenyewe kuna vilaza wengi tu, sio jambo rahisi sana.Nadhani nzuri iwe management by objectives..... yaani majukumu yaainishwe then viongozi (bila kujali chama) waombe nafasi ya urais then kamati ya bunge ifanye consensus (sio kupiga kura) na kumchagua mmoja kuwa Rais/executive prime minister wa nchi.
NB: Najua tyranny of numbers bungeni itaharibu mchakato but at least watakua na uwezo wa kumng'oa akizingua maana sheria zitakua wazi nini kifanyike asipofikia malengo.
So KPI ndio inakua measured na CAG against kila bajeti ya mwaka, ukifeli unaondoka. Ingekua hivyo tungepunguza wagombea na wangekua serious kidogo ila hii style ya miaka 5 alafu unapigiwa kura na wajinga wasiojua hata ilani imeahidi nini hatuwezi toboa.
Tume ya Warioba ilikuwa hivyo lakini jambo lake halikufika popote, liliishia njiani na kuvurugika kabisa.Hii mada ni muhimu sana.
Kama ambavyo si wote wanaingia bungeni, hivyohivyo inabidi iwe SI WOTE wanaochagua viongozi.
Hiyo kazi inabidi tuidelegate kwa watu wachache sana waaminifu, wenye hekima, wenye maadili mazuri, Watusaidie kupata viongozi. Nje ya hapo mambo ta uchaguzi ni ushabiki kama ulivyo ushabiki mwingine jama vile mpira.