Je, ni sahihi kwa majaji kuvaa mawigi ya kikoloni katika zama hizi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Hivi huu utaratibu wa ukoloni mamboleo na utumwa wa rejareja wa kuvalishana mawigi ya kizungu (blonde wigs) ni nini?

Hivi tuko huru kweli?

Na hii common wealth ambao ni muunganiko wa nchi zilizotawaliwa na uingereza ni siupendi.

Screenshot_2018-09-12-00-17-32.png

Screenshot_2018-09-12-00-16-03.png

==========================
Update: 21/11/2024

View: https://www.instagram.com/reel/DCDktuGN6ln/?igsh=MTczcWtrd2FuOTlmMA==
 
Hivi huu utaratibu wa ukoloni mamboleo na utumwa wa rejareja wa kuvalishana mawigi ya kizungu (blonde wigs) ni uchizi au ni nini? Hivi tuko huru kweli? Na hii common wealth ambao ni muunganiko wa nchi zilizotawaliwa na uingereza ni upumbavu wa wapi huu kiasi iongozwe na uingereza?

umeenda mbali sana.. ungeanzia katika ELIMU tu.. imekaa KIKOLONI.. sas kama ELIMU wameshindwa kuibadilisha wataweza huko juu...?? no way out
 
Hakuna ukoloni wowote ni utaratibu tu kama mavazi mengine.

Hata muundo mzima wa kimahakama ni muundo tuliorithi toka kwa wakoloni.

Muundo mzima wa nchi na mihimili yake tumerithi kutoka kwa wakoloni.

Sisi tulikuwa watu duni tu wa kuokota matunda na kuchimba mizizi.

Ukianza kueleza habari za kurithi ukoloni utajikuta huna chochote chako ulichonacho.
 
hata wakina Dada hawa wanaovaa mawigi wanaweza kutuhukumu kumbe ??
 
Hakuna ukoloni wowote ni utaratibu tu kama mavazi mengine.

Hata muundo mzima wa kimahakama ni muundo tuliorithi toka kwa wakoloni.

Muundo mzima wa nchi na mihimili yake tumerithi kutoka kwa wakoloni.

Sisi tulikuwa watu duni tu wa kuokota matunda na kuchimba mizizi.

Ukianza kueleza habari za kurithi ukoloni utajikuta huna chochote chako ulichonacho.
Kwahiyo si uwendawazimu kuvaa mawigi ya kizungu for no apparent reason? Hayo mawigi ni mental shackles kwa vizazi vijavyo, ni lazima tuviondoe, at any cost!
 
Kwanza kabisa ndugu mwandishi wa uzi,

Naomba ufahamu kua hakuna field duniani iliohifadhi culture zake toka kuanzishwa mpaka sasa kama za law "Mawakili/Wanasheria/Majaji/Mahakimu". Kuanzia mavazi mpaka ethics zake... Field nyingine zinabadilika kila kukicha, ila hii kuanzia umeanza mpaka sasa ina heshimiwa na kuhifadhiwa kwa hali na mali.

Pili swala la kuvaa ma wigi na majoho kwa mawakili na majdge ni swala la Judiciary Ethic and Culture, sio la kikoloni wala la kitumwa...

Tafadhali kafanye research vizuri, natumai ukifanya utaufuta huu uzi wako, ama utasemwa sana mkuu
 
Utumwa uliopandikizwa kichwani kwako upo so deeprooted kiasi itahitaji debrainwashing ya hali ya juu kuuondoa. Blondewigs ni symbol ya ukoloni na utumwa, hatuwezi kuendelea kutkuza culture inayomsubjugate mtu mweusi na kumtukuza mtu mweupe, hivyo hata kama ni culture, ni lazima ipigwe vita kama culture ya ukeketaji inavyopigwa vita, na pia uingereza asiwe part ya jumuiko la aliowavictimise (common wealth victims) ni either tumtoe au tujitoe, we are the victims, hapaswi kuwa part ya common victims!
 
Unajipotosha.

Fikiri upya!
 
Back
Top Bottom