Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Hua nina ustahamilivu sana kwa wajinga wasiojitambua, ila sio kwa wajinga kama wewe waliojipa vyeo na sifa ya kua mjinga...Utumwa uliopandikizwa kichwani kwako upo so deeprooted kiasi itahitaji debrainwashing ya hali ya juu kuuondoa. Blondewigs ni symbol ya ukoloni na utumwa, hatuwezi kuendelea kutkuza culture inayomsubjugate mtu mweusi na kumtukuza mtu mweupe, hivyo hata kama ni culture, ni lazima ipigwe vita kama culture ya ukeketaji inavyopigwa vita, na pia uingereza asiwe part ya jumuiko la aliowavictimise (common wealth victims) ni either tumtoe au tujitoe, we are the victims, hapaswi kuwa part ya common victims!
Wanasema kuna vitu viwili pekee visivokua na kikomo, cha kwanza ni ulimwengu, cha pili ujinga... Kuhusu ulimwengu sidhani kama hauna kikomo, ila kuhusu ujinga kweli hauna kikomo, wewe ni mfano tosha...
Jina lako lenyewe umeandika kizungu, kuiga hao hao unaowaponda, tukikuuliza hilo neno "Da Don" ulilojipa pengine hata maana yake hauijui...!!!
Nenda ukafanyiwe maombi