Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 959
Hujitambui wewe!!Hilo anzishia uzi, ila kwenye uzi huu jadili hoja iliyo mezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujitambui wewe!!Hilo anzishia uzi, ila kwenye uzi huu jadili hoja iliyo mezani
Jibu hoja iliyo mezaniHujitambui wewe!!
Elimu yao unaitumia. Ila mavazi yao huyapendi?Haaaaahaaaaaa.wafia ukoloni mamboleo " hawatokuelewa
naona umejitokeza " hahahaElimu yao unaitumia. Ila mavazi yao huyapendi?Haaaaahaaaaaa.
Ni kweli kabisa!Hii hoja ya wigi aliianzisha Julius Malema kwa kuzunfumza mnategemea maamuzi ya majaji wa Zimbabwe kuwa tofauti na mlengo wa Wazungu ikiwa wamevaa Wigi ili kufuata amri kutoka Ulaya na akauliza kwa nini wasivae black wig badala ya white wig kama kuna ulazima...
Wanazuga tuu, ile ni Mizula ya buku jero wananunuaga karume....
Na yale ya madiwani nayo ni vipi...?Habari wadau
Kuna mambo yananitatiza nashindwa kuyaelewa, hivi yale mawigi wanayovaa Majaji kichwani yana umuhimu gani au Yana maana gani? Mimi naona ni kama utumwa wa fikra tu.
Mtu mweusi kuvaa mawigi meupe kichwani ni upuuzi na hii inaonesha ni kiasi gani waafrika bado tunatawaliwa, tunashindwa hata kujikwamua kwenye mawigi mengine tutaweza?