enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Wameiga kutoka Uingereza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiachana na rangi, sidhani kama kuna umuhimu wa kuendelea kuvaa mawigi, kinachotakiwa ni content zilizomo kichwani si mavaziHabari wadau
Kuna mambo yananitatiza nashindwa kuyaelewa, hivi yale mawigi wanayovaa Majaji kichwani yana umuhimu gani au Yana maana gani? Mimi naona ni kama utumwa wa fikra tu.
Mtu mweusi kuvaa mawigi meupe kichwani ni upuuzi na hii inaonesha ni kiasi gani waafrika bado tunatawaliwa, tunashindwa hata kujikwamua kwenye mawigi mengine tutaweza?
Ni utumwa wa kifikra.Habari wadau

Niliuliza nikajibiwa hivi, mtu anaweza kujitetea mwenyewe kwenye court kama anaweza na sheria inaruhusu, lakini pia kama una mtu yeyote mwenye ujasiri anaweza kukutetea ruksa hata kama hajagusa darasa.Wanapenda sana sifa....pia sioni hata sababu ya mawakili kujiita wakili msomi
Habari wadau
Kuna mambo yananitatiza nashindwa kuyaelewa, hivi yale mawigi wanayovaa Majaji kichwani yana umuhimu gani au Yana maana gani? Mimi naona ni kama utumwa wa fikra tu.
Mtu mweusi kuvaa mawigi meupe kichwani ni upuuzi na hii inaonesha ni kiasi gani waafrika bado tunatawaliwa, tunashindwa hata kujikwamua kwenye mawigi mengine tutaweza?
Sawa, kwanini wavae mizula wanapokuwa mahakamani?Wanazuga tuu, ile ni Mizula ya buku jero wananunuaga karume, Mi nishawaona sana.
Wewe unazani wana sababu ya msingi ya kueleweka?Sawa, kwanini wavae mizula wanapokuwa mahakamani?
Mwanangu soma vitabu-lugombo makanta.Mimi naongeza swali lingine,mleta mada naomba unisamehe,
Hivi zile kofia wanazovaa wanafunzi wakati wa mahafali ya kuhitimu hasa Chuo kikuu,kofia hizo asili yake wapi? na zina maanisha nini?
Well said~ mbona na sabufa kule mjengoni anavaa gauni?
~ ule mkuki ndio sima...inamaana gani?
~ Mwenge wa Uhuru sijawahi kuelewa maana yake kiakili..
Haya yote yaondolewe ni mavitu ya kibeberu!!!
Naoba Baada ya kushindwa kupata uwakili hasira unazimalizia kwenye mawigi ya majajiHahaaaa mkuu hili swali lako limenifikilisha mno sababu ni kweli lile wigi ni la kazi gani limepitwa na wakati,
Mzee mzima mkeo anavaa wigi nyumbani na wewe ukienda kazini unavaa wigi
Sasa nywele za kichina zitaishi lini kama viongozi wetu ndio mawigi ndio sare yao.
😁😁😂😂Hivi hata kama atakua mzee mwenye Mvi atatakiwa kuvaa hiyo wigi ya nywele nyeupe?
Duuh! [emoji23][emoji23]Wanazuga tuu, hawana sababu ya msingi, ile ni Mizula ya buku jero wananunuaga karume, Mi nishawaona sana.
Na mimi ndio nimejua leo hili. AsanteNiliuliza nikajibiwa hivi, mtu anaweza kujitetea mwenyewe kwenye court kama anaweza na sheria inaruhusu, lakini pia kama una mtu yeyote mwenye ujasiri anaweza kukutetea ruksa hata kama hajagusa darasa.
So kujitofautisha na watetezi hawa ambao hawajasoma sheria ndiyo hujiita wakili aliyesomea kazi hiyo ya kutetea ‘alias’ ‘wakili msomi’ wenzetu wanajiita ‘a learned lawyer’
Wale ni watumwa wa kikoloni maana hata sharia wanazozitumia niza wakoloniHabari wadau
Kuna mambo yananitatiza nashindwa kuyaelewa, hivi yale mawigi wanayovaa Majaji kichwani yana umuhimu gani au Yana maana gani? Mimi naona ni kama utumwa wa fikra tu.
Mtu mweusi kuvaa mawigi meupe kichwani ni upuuzi na hii inaonesha ni kiasi gani waafrika bado tunatawaliwa, tunashindwa hata kujikwamua kwenye mawigi mengine tutaweza?
wazungu wenyewe si wanavaa pia hebu fuatilia mahakama za kimataifa, ukitaka hivyo hata majoho wasivae basi.. Ile ni sawa na uniform tu.. Wengine huvaa kofia na ile ni sawa na kofia tu..