Je, ni sahihi kwa majaji kuvaa mawigi ya kikoloni katika zama hizi?

Wale ni watumwa wa kikoloni maana hata sharia wanazozitumia niza wakoloni
Hakuna ukoloni wowote ni utaratibu tu kama mavazi mengine. Hata muundo mzima wa kimahakama ni muundo tuliorithi toka kwa wakoloni. Muundo mzima wa nchi na mihimili yake tumerithi kutoka kwa wakoloni.
 
Wakuu mnaojua kwa nini wanavaa hayo mawigi meupe njooni mtujuze huku
Mkuu Hakuna field duniani iliyohifadhi culture zake toka kuanzishwa mpaka sasa kama za law Angalia Mawakili/Wanasheria/Majaji/Mahakimu". Kuanzia mavazi mpaka ethics zake... Field nyingine zinabadilika kila kukicha, ila hii kuanzia umeanza mpaka sasa ina heshimiwa na kuhifadhiwa kwa hali na mali. Issue ya kuvaa ma wigi na majoho kwa mawakili na majdge ni swala la Judiciary Ethic and Culture, sio la kikoloni wala la kitumwa. Tafadhali mwambie mleta uzi akafanye research vizuri, natumai akifanya ataufuta huu uzi wake.
 
Hakuna ukoloni wowote ni utaratibu tu kama mavazi mengine. Hata muundo mzima wa kimahakama ni muundo tuliorithi toka kwa wakoloni. Muundo mzima wa nchi na mihimili yake tumerithi kutoka kwa wakoloni.
~ umevuruga sana...majibu yako yanarudi kule Kule kwa jamaa,sioni tofauti ya ulichokijibu na maelezo ya jamaa...muundo wa kikiloni unapotumika ndio ukoloni wenyewe mkuu.
 
Ndo ukoloni wenyewe Keanu hatuna utarstibu wa kuafrica wa kutoa haki sijui kwa Kabila lako ila kwetu tuna Mfumo uliokamilika kuanzia hawala mahayana Dini elimu nakadhalika
 
Usiondoe wigi tu. Ondoa na mfumo mzima wa nchi na mihimili yake turudi kuchimba mizizi.
 
Mkuu hata sijaelewa comment yako
 
Wanapenda sana sifa....pia sioni hata sababu ya mawakili kujiita wakili msomi
Acheni wivu mawakili wasomi manake kila siku wanasoma vitabu vya sheria hukumu mpya ili waendane na kasi ya mabadiriko ya sheria kila wakati ili waweze kulinda maslahi ya wateja wao.....
Inaonekana hili neno msomi linakuchoma sana!!!?
hukusoma nini bro!!?
 
Sina utaalamu nafikiri ile ni kama alama. Kama ambavyo maaskari huvaa kofia.
 
Kwa kweli inashangaza sana.

Wazungu walitukamata sana. Shida ilianzia kwa mababu zetu naona inaendelea.
Jina lako lenyewe umeandika kizungu, kuiga hao hao unaowaponda, tukikuuliza hilo neno "Blood of Jesus" sio umeandika kwa hiyo lughanya hao mnawaowaponda.
 
Ni majigambo ya kuwaabudu wakoloni, na hata utisho na vitisho vimeakisi ukoloni. Vomiting.!
Wewe mwenyewe mpaka leo hii unawaabudu hao wakoloni kwa jina lako hapa Jf, Hilo jina lako la "Galileo_Gaucho" lina maana gani, je majina yako halisi au ni majina ya hao wakoloni???
 
Acheni wivu mawakili wasomi manake kila siku wanasoma vitabu vya sheria hukumu mpya ili waendane na kasi ya mabadiriko ya sheria kila wakati ili waweze kulinda maslahi ya wateja wao.....
Inaonekana hili neno msomi linakuchoma sana!!!?
hukusoma nini bro!!?

Hii haiwezi kuwa sababu. Kila kada wasomi wake husoma kila siku kwenda sawa na kasi ya tecnologia na maendeleo. Kwa hio hao pia tuwaite mfano Eng msomi au Architect msomi etcetc?
 
Usiondoe wigi tu. Ondoa na mfumo mzima wa nchi na mihimili yake turudi kuchimba mizizi.
[/QUOTE
Yaani wewe unaona kuchimba mizizi ni aibu wakati ndio asili yako...haya maserikali yote hapo chini ya mkono wa sheria ya mzungu MZEE hata uone ndio ustaarabu.
 
Hii haiwezi kuwa sababu. Kila kada wasomi wake husoma kila siku kwenda sawa na kasi ya tecnologia na maendeleo. Kwa hio hao pia tuwaite mfano Eng msomi au Architect msomi etcetc?
Nakupa sababu unaleta kelele....
hata hao ma eng wajiite tu hakuna aliyewakataza...
but eng msomi haina swag.....
 
Wewe mwenyewe mpaka leo hii unawaabudu hao wakoloni kwa jina lako hapa Jf, Hilo jina lako la "Galileo_Gaucho" lina maana gani, je majina yako halisi au ni majina ya hao wakoloni???

Mi Naitwa Ngussa Mwanagamboshi
 
Kama ni ukoloni embu ingia darasani kwenye fani hiyo, ukifikia hiyo level utoe ushauri ili yaachwe kuvaliwa, basi hata polisi nao wanatakiwa kuacha kuvaa hizo kofia zao, ni wivu tu unasumbua
 
Back
Top Bottom