Je, ni sahihi kwa Mwana FA kujiita Gwiji wakati Fatuma Binti Baraka na fahari zake zote mpaka umauti unamfika hajawahi jiita gwiji?

Watu wa zamani walikuwa hawajipi majina makubwa ila kutokana na umahiri wao watu ndio walikuwa wanawapa ma vyeo hayoπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
wacha utani ni Sawa na Leo kumchukua Jide akashindane na kina Zuchu
Watoto wa siku hizi walivyokuwa hawana adabu hawashindwi kumshindanisha Zuchu na Jibe hapo ni sawa na kumshindanisha dada yako na bibi yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…