Bora ungewalisha makande, chenji ndio ubaki nayo kuliko kuwakimbia wenzakoMm kwenye harusi yangu nilichangisha + kuomba mkopo then nikakimbia siku ya harusi, nikafungua biashara 😎
Isingetosha kwenye biashara 😎Bora ungewalisha makande, chenji ndio ubaki nayo kuliko kuwakimbia wenzako
Ww Amini tuu, kutafuta uthibitisho ni kutaka kufanya process iwe ndefuMkuu huo sio ulaghai kwelii
Tawire 😎Hili jambo ni kama la maana hivi
Siyo Presha. Ni UjngaWapo wanaume wanaokopa fedha ili kufanikisha harusi. Je, hiyo ni busara au ni presha?