lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
mzungu hata akinunua ice cream anatunza risiti,ndo maana mmakonde kashindwa kesi mapema sana.Huyo dogo alibebwa sana na Sara sema kwa tamaa zake akamkimbiza. ila % ya mali za Konde zimetokana na huyo mwanadaa. arudishe mali za watu. dunia inaenda kwa vielelezo, kama kashinda kesi maana yake ana nyaraka za kumiliki hizo mali
Tafuta wimbo aliomuimbia kajala kipindi kile zilipovuja video zake za utupu kwa paula.Kuna verse aliimba kuwa alikubali kuviacha vya dezo(bure) toka kwa mzungu kisa kajala.
Pia Sikilliza nyimbo ya hamo iitwayo never give up vesi ya pili anaimba,nilimtanguliza Mungu kwa swala,mara ghafla Akaja mzungu sarah,tjank u ma bby u love me u support me I love you too.
Tuweke pembeni mihemko tutaelewana.Arudishe mali za watu.
Ataelewa tu angemzalisha watoto2 angekula bata 🤣🤣mzungu hata akinunua ice cream anatunza risiti,ndo maana mmakonde kashindwa kesi mapema sana.
sasa anahaha ndai ya miaka 7 baada ya kutoma kusema wcb inamuibia
Jinga Lile mmakonde mmakonde tuu akili kisodaItakuwa watu humu ndani hamumjui Sarah, Sarah ndio alikuwa anampa kiburi harmonize kipesa mama yake Sarah ana mahoteli ya kitalii kama yote Zanzibar, na pia ana hotel za kifarahi italy, harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali na yy ndo alikuwa akigharamia, Harmonize alikuwa akienda kucheza makamari casino ni pesa za sarah, magari aliyokuwa anaendesha harmonize ni ya sarah, pesa alizomlipa Diamond ili atoke wcb ni sarah kalipa mostly mali alizokuwa nazo harmo ni za sarah, ndo maana alikuwa ana vimba mno sarah familia yake ni ya kitajiri mno, so na mali nyingi kachuma yy so ni haki yake kupata haki yake.
Mbona unabishana na alichokisema Harmo kwa mujibu wa Harmonize Sara ndio aliyemsaidia hata deni la Wasafi kulipa na pia kuna magari alipewa pia na huyo huyo mzunguLakin alisema Crdb ndio walitoa pesa na Jembejembe mbona hakusema sarah ,akauza na nyumba yake
Mbona unabishana na alichokisema Harmo kwa mujibu wa Harmonize Sara ndio aliyemsaidia hata deni la Wasafi kulipa na pia kuna magari alipewa pia na huyo huyo mzungu
Kwa hiyo Mahakama wameamua tu hili swala la kugawana mali na kumpatia haki Sarah bila kuwa na ushahidi wa kujiridhisha kuwa anastahili?Kwanin CRDB walimlipia na jembe kama sarah alilipa kweli?nyie acheni uongo
Hawa wanaomtetea Harmonize wanataka tuamini kuwa Mahakama imefikia hayo maamuzi ya kumpa haki Sarah bila kuwa na facts.Kwamba wao reference yao ni Interview ya Harmonize [emoji3][emoji3]Uliziamini zile tantalila zake pale airport? Jembe alilipa na palikuwa na malipo ya endorsement ya CRDB lakini fungu kubwa lilitoka kwa Sara na ndiyo sababu hata maamuzi ya mahakama yamezingatia hilo.
Zombies,hawajielewi. It's either hawana akili hata kidogo au wameamua tu kujitoa ufahamu.Hawa wanaomtetea Harmonize wanataka tuamini kuwa Mahakama imefikia hayo maamuzi ya kumpa haki Sarah bila kuwa na facts.Kwamba wao reference yao ni Interview ya Harmonize [emoji3][emoji3]
Akikujibu ni-tag.Kwa hiyo Mahakama wameamua tu hili swala la kugawana mali na kumpatia haki Sarah bila kuwa na ushahidi wa kujiridhisha kuwa anastahili?
🤣🤣🤣🤣🤣Hawa wanaomtetea Harmonize wanataka tuamini kuwa Mahakama imefikia hayo maamuzi ya kumpa haki Sarah bila kuwa na facts.Kwamba wao reference yao ni Interview ya Harmonize [emoji3][emoji3]
Ukishaingia kwenye masuala ya kisheria ni bora ukatafuta wakili mwenye umahiri katika swala lako itakusaidia sana.
Ila wakuu tuendelee kuikataa ndoa maana ndoa ni kikoba ipo siku kitavunjwa mgawane.
#KATAA NDOA
Vijana wa kileo, hivi kweli unataka ukae na mwanamke miaka 10 au mitano anakupikia anakutengenezea nyumba unamtumia ipasavyo anakuzalia watoto afu ukimwacha aanze moja maisha na kukuachia wewe kila kitu alichotengeneza pamoja na alivyokusaidia kutengeneza? Hii roho mnatoa wapi!? Who do u think u are? Mbona hata baba zetu hawakuwa hivyoo!! Nimeshuhudia ndoa nyingi za zamani za wazee wetu zikiisha wala hamna mzozo mahakamani ni baba anampa mama nyumba yake moja gari na kabiashaira au shamba anakwenda kutafuta maisha pahala pengine ila kizazi cha sasa kinataka mwanamke anyanyasike hata kama kakosea mmechuma wote! Mpe chake.. kama kweli utakataa ndoa sababu unaogopa mkichana itabidi umuachie chochote, nawahurumia sana watoto wako, watanyanyasika sana mikononi mwa dunia sababu baba hutaki kumnyanyua mtu anaelea wanaoUkishaingia kwenye masuala ya kisheria ni bora ukatafuta wakili mwenye umahiri katika swala lako itakusaidia sana.
Ila wakuu tuendelee kuikataa ndoa maana ndoa ni kikoba ipo siku kitavunjwa mgawane.
#KATAA NDOA
Huyo harmonize mwenyewe alikuwa hajitegemei mwenyewe mwanume suruali kula kuvishwa ni Sarah endiwo mama yake ana m hotel na mmiliki ni Sarah mali za Sarah ndo maana mahakama imempA kila kitu chake sarah kabkia suruali tupu na bado atarudi mtwara, mkopo kwa hela gani harmonize anayo ya kumlipa Sarah??? Harmonize choka mbaya na range zake za wizi za South Africa, wanawake sio utahira wanawake tumeamka hakuna kuzubaa yy harmonize aendelee tu kubadilisha sketi hana jipya, angekuwa ana pesa asingekuwa anakuja nje kupiga show na kulala kwenye majumba ya watuSasa unaona ulivyo mpuuzi,
1.) kama mama yake ana mahaoteli si aende akadai urithi kwa mama yake?
2.) Wakati Harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali Sarah nae si alikuwepo wakila raha? Kwahiyo kamsafirisha kwa kujistarehesha, sasa starehe afanye yeye alafu aje kudai fidia tena kwa yule uliyemtumia kama chombo cha starehe? Ni kama Harmonize akamdai pesa Kajala kwa starehe walizokula wote
3.) Kama alimpa pesa za kucheza Casino, hizo pesa si zimeshaliwa? Sasa utadai vipi wakati ulimpa mtu pesa akacheze kamari, na unajua kabisa kamari kuna kuliwa, utadai vipi pesa ambayo imeshaliwa? Akawadai wenye macasino
4.)Kama magari anayoendesha Harmonize ni ya Sarah, sasa kuna haja gani ya kwenda kuyadai mahakamani, ingekuwa ni kiasi cha kwenda kuyachukua tu maana kadi ya gari ndio inaonyesha mmliki wa gari, unless kamuuzia na document zipo, basi yeye angeenda tu kuchukua magari yake
5.) Wakati anamlioe Diamond hizo pesa, walikubaliana kwamba atamrudishia kama mkopo, alitoa kama zawadi? Huwezi ukadai zawadi uliyompa mtu tena kwa hiari yako. Yeye Sarah akatafute tu Bwana wa kwenda kumdangia, hana mali aliyoacha kwa Harmonize
6.) Sarah angekuwa ndio mume, na Harmonize ndio mke, Sarah angeweza kwenda kumdai pesa Harmonize? Kwamba ukadai pesa uliyomuhonga mkeo? Wanawake wana utaahira mwingi sana, na hii ndio inawafanya kulemaa akili, jitegemeeni wenyewe mbwa nyie
Wakati mwanaume anachuma, hausigeli analea watoto, yeye mwanamke huwa anafanya nini? Maana mida mwingine hivi vitu havimakeVijana wa kileo, hivi kweli unataka ukae na mwanamke miaka 10 au mitano anakupikia anakutengenezea nyumba unamtumia ipasavyo anakuzalia watoto afu ukimwacha aanze moja maisha na kukuachia wewe kila kitu alichotengeneza pamoja na alivyokusaidia kutengeneza? Hii roho mnatoa wapi!? Who do u think u are? Mbona hata baba zetu hawakuwa hivyoo!! Nimeshuhudia ndoa nyingi za zamani za wazee wetu zikiisha wala hamna mzozo mahakamani ni baba anampa mama nyumba yake moja gari na kabiashaira au shamba anakwenda kutafuta maisha pahala pengine ila kizazi cha sasa kinataka mwanamke anyanyasike hata kama kakosea mmechuma wote! Mpe chake.. kama kweli utakataa ndoa sababu unaogopa mkichana itabidi umuachie chochote, nawahurumia sana watoto wako, watanyanyasika sana mikononi mwa dunia sababu baba hutaki kumnyanyua mtu anaelea wanao
Ukiweza kujibu hiyo hoja yangu, nitaenda VetaNenda VETA wewe, kasema Chongolo. Inaoneka uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja ni mdogo sana
Ukiweza kujibu hiyo hoja yangu, nitaenda Veta
We jibu hiyo hoja tu, vihoja havitasaida sana
Hakuna hoja yoyote hapo ndugu, nimechagua kukupuuzaWe jibu hiyo hoja tu, vihoja havitasaida sana