Sasa unaona ulivyo mpuuzi,
1.) kama mama yake ana mahaoteli si aende akadai urithi kwa mama yake?
2.) Wakati Harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali Sarah nae si alikuwepo wakila raha? Kwahiyo kamsafirisha kwa kujistarehesha, sasa starehe afanye yeye alafu aje kudai fidia tena kwa yule uliyemtumia kama chombo cha starehe? Ni kama Harmonize akamdai pesa Kajala kwa starehe walizokula wote
3.) Kama alimpa pesa za kucheza Casino, hizo pesa si zimeshaliwa? Sasa utadai vipi wakati ulimpa mtu pesa akacheze kamari, na unajua kabisa kamari kuna kuliwa, utadai vipi pesa ambayo imeshaliwa? Akawadai wenye macasino
4.)Kama magari anayoendesha Harmonize ni ya Sarah, sasa kuna haja gani ya kwenda kuyadai mahakamani, ingekuwa ni kiasi cha kwenda kuyachukua tu maana kadi ya gari ndio inaonyesha mmliki wa gari, unless kamuuzia na document zipo, basi yeye angeenda tu kuchukua magari yake
5.) Wakati anamlioe Diamond hizo pesa, walikubaliana kwamba atamrudishia kama mkopo, alitoa kama zawadi? Huwezi ukadai zawadi uliyompa mtu tena kwa hiari yako. Yeye Sarah akatafute tu Bwana wa kwenda kumdangia, hana mali aliyoacha kwa Harmonize
6.) Sarah angekuwa ndio mume, na Harmonize ndio mke, Sarah angeweza kwenda kumdai pesa Harmonize? Kwamba ukadai pesa uliyomuhonga mkeo? Wanawake wana utaahira mwingi sana, na hii ndio inawafanya kulemaa akili, jitegemeeni wenyewe mbwa nyie