Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,266
- 1,264
Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi.
Naomba kupata msaada wa mawazo katika hili maana nahisi KUPASUKA KWA HASIRA!! Yaani sasa hivi wananchi tunatishiwa kwa sababu tu tumekataa mashamba yetu yasichukuliwe na kupewa viongozi?
Naomba kupata msaada wa mawazo katika hili maana nahisi KUPASUKA KWA HASIRA!! Yaani sasa hivi wananchi tunatishiwa kwa sababu tu tumekataa mashamba yetu yasichukuliwe na kupewa viongozi?