Je ni sahihi kwa Tanzania kuendelea kuwakilishwa na mashombe shombe Big Brother Africa??

Je ni sahihi kwa Tanzania kuendelea kuwakilishwa na mashombe shombe Big Brother Africa??

Mi nikadhani utasema ni lini tanzania itapiga marufuku kushiriki mashindano hayo kumbe we una ubaguzi tu maskini kama mimi huenda tukaja ambiwa siyo watanzania kisa nywele na rangi kumbe mtanzania halisi mungu atusaidie tuliepuke hili amina.
 
NAJIULIZA KILA SIKU, kwanin Tz TUNASHIRIKI huu upambavu BBA...??

ni AIBU kwa TAIFA, wala sio SIFA.
 
Utamaduni nao unaweza ukawa unachangia. Mashombe shombe wana mchanganyiko wa tamaduni hivyo pengine hawaoni aibu kuanikwa live kwenye Bba ambapo kwa mwanaume halisi wa kitanzania hawezi kukubali kuwekwa naked kwenye public. (Ukijiunga na BBA VIP Membership ndio utaaccess hizo wenyewe wanaita uncut videos)
 
Ni sawa tu, maana huko sana sana ni Ngono tu.
 
Mi nahisi pia mazingira ya Big Brother yapo kizungu zaidi so kwa waswahili wa kawaida ni vigumu kupata nafasi ya kushiriki.
 
Kumbe hayo mashindano yana maana sana kwa nchi yetu!!!
 
Mwaka huu ngoma ilikuwa kigezo kimojawapo....Shombe wa kiume alisoma NEGATIVE chezeya nje wewe condom ni kama tebo ya pili...no sex bila ngala....wabongo wengi wa hapa hapa waliojitokeza mita ilisoma so ikawa hamna jinsi....hyo ndio habari ya munjini kama hamjui. Kule kuna kufanya mengi ya nini ukasambaze wadudu huko?
 
Si kuna mwaka mlipeleka washiriki wasio shombe shombe wakaishia kukaa uchi na mwingine kusukumiwa m.b..o hadharani! Aibu yao ndo aibu yenu.
 
Hapo kuna dharau dhidi wa watu weusi,pia elimu yetu imetufanya kiingereza tusikizungumze vizuri.naunga hoja kura apigiwe na mashombe wenzake
Bongolala naona una machungu, ila ukweli bwana unauma. Shida ni lugha tu ndugu yangu, wala sio kingine. Kama alivyochangia hapo Resi na wengineo, uwezo wa kupeleka watoto shule zinazofundisha kiingereza fasaha una nafasi katika kuwatayarisha katika mashindano ya kimataifa. Hebu imagine, japo ni star wa kiwango chake, kumpeleka Joti (no disrespect) BBA, ni vipi ataiwakilisha. Tusifanye ubaguzi, tukianza hayo basi hata wapare watasema wakurya wanapendelewa nafasi za jeshi. Kwingineko EAC, Kiswahili kinashika kasi kwa ajabu, kuwa mvumilivu, yatakuja ma BBA mengine au hata BBTZ yanayohitaji waongeao Kiswahili. Hapo Joti na Mpoki wataweza tuwasilisha (much respect bros)..
 
mafinyo2 wapata au wajifunza nini toka bba? zaidi ni uzinzi na uzuzu wanaopata vijana wetu toka jumbani, nadhani ulimshuhudia dadayako toka eatv alivyotuaibisha watanzania mwaka jana, ujinga mtupu. over.
 
Je, ni watanzania?..habari ya ushombe inatoka wapi?..kama ni watanzania shida yako nini?...wewe umejaribu ukazuiliwa?...acha ubaguzi!...
 
Wazazi wa "mashombe" asilimia kubwa wana-kauwezo hivyo na makinda yao yanaenda shule za "uhakika", hence kimombo kinapanda, hence kuchaguliwa kwa urahisi BBA.... henve .... diy.....

...Kwa hiyo katika hiyo miaka minne iliyosemwa hapa hakuna Mtanzania mwenye rangi nyeusi ambaye wazazi wake ameweza kumsomesha kinda wake shule za 'Uhakika' kiasi cha kinda huyo kuwa na kimombo kilichokwenda shule kiasi cha yeye kuweza kuchaguliwa kutuwakilisha kwenye BB? Is that your way of thinking, supposedly Great Thinker??
 
Back
Top Bottom