Je ni sahihi kwa Tanzania kuendelea kuwakilishwa na mashombe shombe Big Brother Africa??

Je ni sahihi kwa Tanzania kuendelea kuwakilishwa na mashombe shombe Big Brother Africa??

Kuna wabongo wengine waajabu sana sio watanzania kwasababu ni mashombe yaani tunabaguana wenyewe mimi hapa ni mweusiii zaidi ya mpoki na wa support watanzania wote ambao wapo bba we kama hutaki kuangalia hujalizimishwa kuna wabongo wana roho ya mbaya sana unaenda uwanja wataifa kuizomea timu yako ya taifa wabongo kwa majungu
 
Mleta mada hivi uliowataja walichukua fomu na kujaza na kurudisha wakakosa?

Embu nijuze mie
 
Acheni u racist nyie. Kwani akiwa mixed ni shida gani unapata? Wewe piga kura tu. mambo ya colour ni ya kizamani sana
 
Sikutegemea kama kuna watanzania wenye ideology kama hii!

Mtu akiwa mixed sio mtanzania?
 
BBA ni upumbavu mtupu, naunga mkono DSTV waendelee kuwachaguwa hao mashombeshombe ndio wakashiriki ushetani wao.
 
BBA ni upumbavu mtupu, naunga mkono DSTV waendelee kuwachaguwa hao mashombeshombe ndio wakashiriki ushetani wao.

ni haki yako ya kikatiba kuongea mkuu
 
MBONA NCHI ZA WENZETU WANALETA WALUMENDAGO TUU, I remember GAETANO of Uganda!
Experience inaonesha kwamba shombe shombe kutoka tz wanafanya vizuri with exception of msela ("bedoa"nimemsahau jina, plz correct it). Lakini hawa wenye asili ya umatumbini; dah! kuna yule demu kutoka Arusha, akaja yule wa channel 5....hamna walipofika!! anyway, nazani wadada ndo wapiga kura wakubwa, so ukipelaka mtu anaye-shine; lazima azoe kura za wadada!!
 
Yeyote anayeshabikia Upumbavu naye pia ni mpumbavu.

Kweli kabisa sijaona mashindano ya kipuuzi kama haya nashangaa kwanza watu wenye akili kukaa kushabikia upuuzi kama huo, tumekuwa kama majuha nchi haieleweki,hatuna mila zetu wala hatuna utamaduni, tunapokea kila kinacholetwa na uleo bila hata kuchuja, hivi faida 1 ya big brother ni nini?
 
Haya mashindano yanaitangaza Tanzania?
 
tokeni hapa !sie nywele ngumu ni kinyume na maadili kukaa ---- ,papuchi,twangio wazi kwa asilimia zozote!waacheni hao waso mila, hulka silka za kikwetu wakajiwakilishe na wehu wenzao!
 
Haina shida ili mradi ni raia wa nchii hii

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kweli kabisa sisi nywele ngumu sidhani kama tutakubali kukaa uchi vile!na sielewi ina manufaa gani kama nchi?au ni binafsi zaidi?sio kwa manufaa ya nchi!
 
Kama ni upumbavu ni kwa upande wako! Sisi wengine ni wapenzi wa BBA na kura tunapiga. So tafadhali mkuu..

Nyinyi ni wapenzi wa ngono na wapiga chabo wakuu. Hivi hii BBA ina utofauti gani na Picha Za Ngono?
 
Back
Top Bottom