Experience inaonesha kwamba shombe shombe kutoka tz wanafanya vizuri with exception of msela ("bedoa"nimemsahau jina, plz correct it). Lakini hawa wenye asili ya umatumbini; dah! kuna yule demu kutoka Arusha, akaja yule wa channel 5....hamna walipofika!! anyway, nazani wadada ndo wapiga kura wakubwa, so ukipelaka mtu anaye-shine; lazima azoe kura za wadada!!MBONA NCHI ZA WENZETU WANALETA WALUMENDAGO TUU, I remember GAETANO of Uganda!
Yeyote anayeshabikia Upumbavu naye pia ni mpumbavu.
na ni ya kisenge kipuuzi sana...unakuta jitu zima lashabikia mchezo kama huu....waachie akina nyani ngabuMashindano ya kipumbavu.
Mashombeshombe ni ma liberali na kule wanahitaj malibelali
ni lini watanzania asilia kama kina Mpoki, jide, mpoto, na wengineo wataiwakilisha nchi yetu huko kwenye jumba la big brother??
Kama ni upumbavu ni kwa upande wako! Sisi wengine ni wapenzi wa BBA na kura tunapiga. So tafadhali mkuu..