Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

mind you that,,,, the retain/extension of the three officers(chief audit executive, chief finance executive and chief engineer) i mentioned earlier was not by chance rather by choice
 
Ana maana kwa kipindi hicho hakuna mwenye sifa stahiki kuendeleza pale alipofikia aliyeongezewa mkataba.
Up Ni ubinafsi. Hakuwezi kosekana na replacement hata siku moja. Sema kuwa kunaubinafsi na watu wanataka kufia kazini. Apprenticeship na transfer of knowledge hivi vitu havipo wizarani huko au ? Wazee Ni wabinafsi, wao walipewa fursa wakiwa na umri mdogo tu ila siku izi utasikia vijana hawana uwezo blabla!!!
 
mkitaka nitawapa current availables taff status and experience yao...halafu nitaweka ya hao walioongezewa.....
 
Kama umenisoma vizuri hapo juu ni kuwa succession plan ni mbovu sana katika taasisi za serikali. Kuna taasisi nyingine zilishindwa kuajiri kwa hadi miaka mitano, hivyo kukosa watumishi wenye sifa stahiki kuchukua nafasi za wanaostaafu na kulazimika kuwapa mikataba ya kuendelea na kazi wakati huo huo wakiwapa uzoefu hao watakaochukua nafasi zao.
 
Toa hiyo status. Lakini kumbuka management ndiyo inafahamu uwezo wa kiutendaji wa watumishi wake. Academic qualifications na uwingi wa miaka kazini peke yake haku-guarantee wapewe nafasi za uongozi.
 
hicho ndo kichaka kingine ambacho watu wanakitumia......ila take it from me .....kama mkaguzi mkuu wa ndani, mlipaji mkuu wa shirika and mtu mwingine yeyote walihusika kutengeneza dili fulani..... huwa tabia ya wakubwa wengi kuwashikilia kwa muda ili muda uende kuhakikisha kwamba dili wont backfire and if it does then they are there to respond and bare consequences
 
mfano madili yote ya mikataba ya hovyo kipindi cha kijazi.....hawa watu watatu (chief audit executive, chief finance executive and chief engineer) ...........walikuwa ndiyo washauri wake wa karibu and untouchable.....sasa wameongezewa wasindikize dili lisjekuja backfire.....
 
Kwa taarifa yako mkaguzi wa ndani awe mpya au wa zamani hawawezi kuficha uozo uliopo ndani ya taasisi, ni suala la muda tu.
 
mfano madili yote ya mikataba ya hovyo kipindi cha kijazi.....hawa watu watatu (chief audit executive, chief finance executive and chief engineer) ...........walikuwa ndiyo washauri wake wa karibu and untouchable.....sasa wameongezewa wasindikize dili lisjekuja backfire.....
Ungekuwa wewe ni Kijazi washauri wako wangekuwa nani zaidi ya hao?
 
mfano madili yote ya mikataba ya hovyo kipindi cha kijazi.....hawa watu watatu (chief audit executive, chief finance executive and chief engineer) ...........walikuwa ndiyo washauri wake wa karibu and untouchable.....sasa wameongezewa wasindikize dili lisjekuja backfire.....
ni madili gani hayo?
 
Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba?

Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
Pambana na hali yako kwani hao wanaoongezewa wana ujuzi wa kutosha
 
Yes ni sawa, mtumishi wa umma anapofikisha umri wa kustaafu kwa mujibu wa miaka 60, kama hakuna replecement, anaruhusiwa kuongezewa mkataba wa miaka miwili miwili mwisho mikataba 2. akifikisha umri wa 65 ndio umri wa mwisho kwa mtumishi wa umma.
P
Miaka 65 au 64? Maana ukisema miaka miwili miwili ataishia kuwa na miaka 64 na sio 65.

Anyway najua wewe ni kada pia ni ngwini kwa hiyo hesabu zinaweza kuwa tatizo..
 
Toa hiyo status. Lakini kumbuka management ndiyo inafahamu uwezo wa kiutendaji wa watumishi wake. Academic qualifications na uwingi wa miaka kazini peke yake haku-guarantee wapewe nafasi za uongozi.
Kwa hiyo unataka kusema kwamba hiyo organization ni poor kiasi kwamba imeshindwa kuwa train watu wake kiasi cha kuongezea watu mikataba?
 
Yes ni sawa, mtumishi wa umma anapofikisha umri wa kustaafu kwa mujibu wa miaka 60, kama hakuna replecement, anaruhusiwa kuongezewa mkataba wa miaka miwili miwili mwisho mikataba 2. akifikisha umri wa 65 ndio umri wa mwisho kwa mtumishi wa umma.
P
Mfugale alifikisha mingapi?
 
Ni sawa hasa kwa mfano mashirika Haya bandar, reli ,tanesco lbd hasa hizi kada za ufundi vijana wengi lbd wanakua sio wazoefu mana huwez tu kumuamin tu kijana kutoka chuo lzm mkongwe awepo
 
Kama umenisoma vizuri hapo juu ni kuwa succession plan ni mbovu sana katika taasisi za serikali. Kuna taasisi nyingine zilishindwa kuajiri kwa hadi miaka mitano, hivyo kukosa watumishi wenye sifa stahiki kuchukua nafasi za wanaostaafu na kulazimika kuwapa mikataba ya kuendelea na kazi wakati huo huo wakiwapa uzoefu hao watakaochukua nafasi zao.

Upo sahihi mkuu kuna shirika hawajaajir toka miaka ya 90” leo wanaajir kijana miezi sita baadae watu wanastaafu je kijana atafanya na ni kada ya Ufundi
 
Back
Top Bottom