fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
- Thread starter
- #21
kwa hiyo ww mahakama huiheshimu
Sijawahi kata kadi na kulipia ada za kuwa mwanachama wa mahakamani, ni kitu imposed kwangu, Chama nimekitafuta mwenyewe nikasoma katiba nikajiunga kwa kulipia kadi, it comes before any other body. Na siku kiongozi wa chama cha hiari kama cha siasa na wanachama wenzangu wakisema basi inakuwa basi maana sio kuhoji maslahii yangu yatakuwaje, kumbe mko kwenye chama kwa maslahi binafsi???kwa maslahi y chama viongozi wanasema bas wewe unahoji maslahi yako???