fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
- Thread starter
-
- #21
kwa hiyo ww mahakama huiheshimu
CDM haikumlazimisha zzk kuingia huko na wala haja fungwa minyororo, kama anaona hatendewi haki ondoka nenda kwingine, vyama ni vingi sana. Sasa kama anang'ang'ania cdm, basi yeye si maarufu kama anavyosema, bali maarufu ni cdm. Anajua akitoka huko ndio amekwisha, sasa tunaona anavyo hangaika mara mahakamani mara kwa waganga wakienyeji, haita msaidia kitu. Kama cdm haina democrasia ondoka nenda kwenye democrasia. Sawa na mtu ana lalamika mke wangu malaya lakini hataki kumuacha, haielewiki sasa.mpaka uamuzi ukafikiwa hayo maswali yako yote yalifikiriwa kwanza! Anyway cdm si chama huru kama unavyodhani vingnevyo kisingekuwa na ubaguz namna hii.
Chama kupitia viongozi wake wasiokuwa makini kinatengeneza migogoro isiyokuwa ya lazima alafu vikao vinaanza kukaa kuijadili! Unadhan gharama za huu up**mbv atalipa nani kama c nyie MNAODHANI ni wanacdm kutembezewa bakuli na ruzuku ya mamilion kuishia kwenye vikao hv visivyokuwa vya lazma? Poor u blind!
Huyo Zito kamati kuu ilimtaka ajitetee kwa nini asifukuzwe uanachama kwa ukosefu wa nidhamu na kukisaliti chama.Baada ya kuleta utetezi wa maandishi walimtaka atokee kwenye kikao cha kamati kuu atolee maelezo yake kwa mdomo ili wajue la kufanya.Akakataa na kuamua kukimbilia mahakamani.Nadhani amekosea yeye ange tokea ajieleze wangempa adhabu ambayo haridhiki nayo ndipo ange enda mahakamani.Hapo nadhani amejimalizaMtu aweza onewa au kosewa na mtu binafsi,taasisi,serikali au chama hivyo anaruhusiwa kumburuza mahakamani mtu binafsi,taasisi,serikali au chama pale anapoona kakosewa.
Vyama ni body corporates zaweza shitaki au kushtakiwa pia.Hakuna aliye juu ya sheria vikiwemo vyama kama CHADEMA inaweekana CHADEMA mnajua people`s power hamjui Court power.People`s POWER sio last resort kuna Court POWER.
Nafurahi kumuona amekuwa wa kuokolewa na mahakama, ni mdogo kama david na wenzake, ZZK eti ana nguvu? mwenye nguvu anakimbilia mahakamani na wanyonge je??? Ni mchache kama punje ya haradali huyo
Huyo Zito kamati kuu ilimtaka ajitetee kwa nini asifukuzwe uanachama kwa ukosefu wa nidhamu na kukisaliti chama.Baada ya kuleta utetezi wa maandishi walimtaka atokee kwenye kikao cha kamati kuu atolee maelezo yake kwa mdomo ili wajue la kufanya.Akakataa na kuamua kukimbilia mahakamani.Nadhani amekosea yeye ange tokea ajieleze wangempa adhabu ambayo haridhiki nayo ndipo ange enda mahakamani.Hapo nadhani amejimaliza
Lengo la thread yako ilikuwa ni nini? mbona unajipaka kinyesi??
haukuwahi kusikia mahakama kuingilia shughuli za chama kama kuna ukiukwaji wa katiba ya chama hicho??
baada ya kuona ulichemsha ndio unakuja na hivi vijembe??
haukuona lissu na wenzake wameishashindwa??
Nafurahi kumuona amekuwa wa kuokolewa na mahakama, ni mdogo kama david na wenzake, ZZK eti ana nguvu? mwenye nguvu anakimbilia mahakamani na wanyonge je??? Ni mchache kama punje ya haradali huyo
Mbowe ndio maslahi ya chama???Anaongelea vyeo na maslah yake eti yatakuwa irreparable, je maslahi ya CHAMA anajua pia hayatakuwa irreparable??
Wewe mbwiga wa mbwigu kweli Vatican chini ya utawala wa Holy See ni sovereign state. Unapokuwa padri unajisubject kwenye madaraka hayo ya Holy See ambao ni utawala wenye sheria zake zinazojitegemea. Mahakama za Tanzania hazina jurisdiction kuamua kesi ambazo zinatakiwa ziamuliwe na Mahakama za Holy See. Kitu kingine yawezekana Padri Karugendo aliridhika na hukumu iliyotolewa dhidi yake akaridhika hivyo siyo lazima apeleke kesi mahakamani kupinga kufukuzwa kwake. Mfano wako ni butu kabisa na hata aliyeusupport naye ni mbwiga tu.mbona kalugendo hakwenda mahakamani alipovuliwa upadri as papa!? uliyoingia kwa hiari maana yake ulikubali kanuni na taratibu zake. Ukikiuka wanakuondoa kwa kanuni na taratibu zilezile..!
Mbowe ndio maslahi ya chama???
Chama kina taratibu zake, sasa mahakaman kuzuia taratibu za chama kufayika ni mtihani, wanachama tunaheshimu chama kuliko kitu kingine chochote.[/
ni makosa na thambi kushabikia chama cha siasa kama timu ya mpira , maana timu hata wakosee vipi mashabiki wake huendelea kuipenda!
hata watu wawili wakiwekeana makubaliano na mwishowe wasipoelewana bado mahakama itaingilia na kuamua kwa kuzingatia katiba ya nchi na hayo makubaliano yao na wao lazima watii ......
A blind pursuit of cheap popularity has nothing to do with revolution." ~ Nelson Mandela
Unataka cheap umaarufu, tena kikipofu pofu vile, mwenyekiti wetu ni mwenye maono na nguvu, kimbilia mahakama kama unakadi ya CDM tutaichukua tu, maana kadi hizo hatuzipewi mahakamani, kacheeze wenyeviti vichwa Nazi sio CDM