Je ni sahihi mahakama kuzuia shughuli za chama hai?

Ndugu yangu kwa mujibu wa sheria kila taasisi au jumuiya inatakiwa kuwa na katiba yake na kama ikitokea mtu katika hiyo taasisi au jumuiya anaweza kwenda mahakamani kudai mahakama imaaidie
 
How and Why on earth, tuko kwenye struggle harafu unaleta technicalities, wewe lazima ni msaliti, hata msafiri mungu amemhurumia na mfungo, hata maliwatoni itakuwa yeye ZZK??? kama ni mwanaCDM anasubiri technicalies zake baada ya kukamiisha kaz ya ukombozi, ni kama kumtukana mandela kwa kuacha wanawake wakati mapambano na makabur yako peak, nani atakuelewa??? ONDOKA ZAKO na KIBURI CHAKO ETI MTU WA MWISHO KUTOKA CDM thubutu labda uweke ofisi zako mahakamani kwa usaidizi wa matumiz mabaya ya maahakama
 
Acheni uzombi hata familia ina taratibu zake,kampuni,asasi ama taasisi na kama haki haijatendeka ndn ya chama kwa ubabe wa dj nbowe kutokuheshimu hizo mnazoziita taratibu zs chama unadhani wapi mtu atapata haki. Hofu ya nini subirin mahakama itatoa haki.
 
mahakama iligundua haina uwezo wa kuzuia katiba na maamuzi ya chama na kumpiga zzk chini, march 10, 2015 Lissu mbele ya Katibu mkuu wa CHADEMA Dk. Slaa alitangaza kuwa CDM imemfukuza rasmi ZZK baada ya mahakama kutupa shauri lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…