Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Yani uende kwenye harusi usiku kesho yake uendelee na funga ?Wanahudhuria mbona. Sherehe ukumbini ni usiku.
Sasa kwanini unywe pombe?? Hizo sasa ni tamaa.Yani uende kwenye harusi usiku kesho yake uendelee na funga ?
Unywe pombe upate hangover halafu kesho yake ufunge?
Sasa michango ilivyo mikubwa halafu ukawanyweshe watu juisi unaona ni sahihi?.Sasa kwanini unywe pombe?? Hizo sasa ni tamaa.
Kwahiyo wewe pombe unakunywa kwa sababu mchango ulioutoa ni mkubwa sana? Kwahiyo mwezi ukiisha ruksa kurudi kwenye ulevi sio?Sasa michango ilivyo mikubwa halafu ukawanyweshe watu juisi unaona ni sahihi?.
Kwani kuna dini inayoruhusu pombe?.Kwahiyo wewe pombe unakunywa kwa sababu mchango ulioutoa ni mkubwa sana? Kwahiyo mwezi ukiisha ruksa kurudi kwenye ulevi sio?
Unapofunga mwezi mtukufu unatakiwa ubadilike uache kila kitu ambacho hakimpendezi Mungu na sio uache kwa huo mwezi tu, bali hata baada ya huo mwezi.Kwani kuna dini inayoruhusu pombe?.
Unachangisha michango mikubwa kwa lengo lipi?
Yani ni sawa kwenye harusi uwachangishe watu pesa kisha ukawalisha ubwabwa maharage au ugali.Unapofunga mwezi mtukufu unatakiwa ubadilike uache kila kitu ambacho hakimpendezi Mungu na sio uache kwa huo mwezi tu, bali hata baada ya huo mwezi.
Sasa ukienda kwenye harusi ukila chakula na juice na maji au vinywaji vingine unakuwa haujasherehekea?
Ndio. Roman Catholic wanaruhusu pombeKwani kuna dini inayoruhusu pombe?.
Unachangisha michango mikubwa kwa lengo lipi?
Ni makosa makubwa mno.Ni busara yako tu lakini ni ruksa kufunga ndoa kipindi hiki!