Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

Huu ndio ukenge. Kila kitu udini dini tu. Kama ulishindwa kugharamia gharama za harusi wewe na familia yako hadi ukachangisha watu subirie wafungulie ndio ufunge vinginevyo uwaandalie vyombo vya kubebea msosi ili wakale huko makwao wakati wa ifutar.
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Wanahudhuria mbona. Sherehe ukumbini ni usiku.
Shamrashamra za harusi zinaanzia tangu asubuhi,usiku huwa ni kuhitimisha tu.

Tena wengine huwa wanaanza na mkesha kesho yake ndipo ukumbini.
 
Yani uende kwenye harusi usiku kesho yake uendelee na funga ?

Unywe pombe upate hangover halafu kesho yake ufunge?
Kwani izo pombe inashindikana kunywa bila kwenda kwenye harusi? Suala la kufuata taratibu za mfungo ni maamuzi ya mtu tu haijalishi kaenda kwenye harusi au hajaenda
 
vinginevyo uwaandalie vyombo vya kubebea msosi ili wakale huko makwao wakati wa ifutar.
Sasa kama wakisikia harufu ya chakula tu wanakasirika na kuanza kutandika watu bakora kwa maelezo kuwa wanawaharibia mfungo kwa kuwatamanisha, ukiwapakulia hiyo mipilau na mikuku hata nyumbani itafika?
 
Ni sahihi. Sherehe usiku ulichochangia utakula ukumbini usiku usipangie watu maisha
 
Back
Top Bottom