Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

Ni utoto. Amejibainisha na kitakachoguata ni yeye pia kuingizwa kwenye ban. Bahati mbaya ukishawekewa rekodi hii usifikiri kuwa taabu ni kwrnda marekani tu. Hapana utafuatiliwa kila kona. Unakosa uhuru kidunia.
 

Ndugu yangu Mayalla, hakuna kitu kisicho na mipaka hapa duniani. Hata wabunge nao wana mipaka yao ndio maana kuna kanuni za kuwaongoza wakitekeleza majukumu yao. Mbunge ni kweli analazimika kutumia karatasi zenye nembo ya bunge akiwa anawasiliana na yoyote yule lakini mawasiliano hayo yanatakiwa yawe yanalihusu bunge au jimbo. Mbunge hawezi kutumia nembo ya bunge kuwasiliana mambo yake binafsi e.g. kutumia karatasi za bunge kuomba mchango wa harusi.

Nikisema mambo yanayolihusu bunge ni pamoja na maswala ya kitaifa kama hili la watoto kupata mimba, lakini hata hivyo mbunge akingilia mambo ya kimataifa, hatakiwi kuificha wizara ya mambo ya nje ambayo ndio ina jukumu la kuwasiliana na mataifa ya nje au vyombo vya kimataifa katika mambo ya kiserikali. Kumbuka Zitto aliongelea swala ambalo lilikuwa ndani ya mikono ya serikali, alikuwa haongeleo swala binafsi. Na vilevile, mawasiliano ya mbunge na chombo chochote cha nje na ndani ya nchi yanatakiwa kuwa archived bungeni, ndio maana unalazimishwa kutumia karatasi maalumu zenye nembo ya bunge. Sasa kama aliwapa bunge nakala ya hii barua hapo sina uhakika, ila niseme hii sio mara ya kwanza Zitto ku sidestep serikali na bunge kuenda kimataifa. Msikilize Mzee Mkuchika hapa alivyo muonya Zitto bungeni 2017.

 
Narudi Jalalani
Jambo jema ni kurudi ulikotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msando ni Opportunist tu hana mantiki yeyote zaidi ya kuendekeza NJAA tu.
 
Hivi alikujibu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…