Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

Kwenye mitaala ya shule zetu tangu primary hadi chuo Kikuu, tunapaswa tuwe na mtaala wa uzalendo ili Tanzania tuzalishe wasomi wazalendo badala ya kuzalisha wasomi mamluki.
P
Kuna uzalendo wa kunyanyasa,kutesa kuua watz wenzio?wenzio waliopo kwenye mfumo wameapishwa leo,lakini wewe mwaka wa 5 sasa toka umeanza kulamba miguu ya wenzio,haumo kila teuzi,kazana kwa mwezi michache iliyo baki unaweza kuambulia hata ukurugenzi wa uchaguzi.
 

Kabisa.

Hajakosea kujibu. Ni haki yake.

Alichokosea ni hoja. Hana kabisa hoja ya/ za msingi.

If anything, amekubali kuwa yaliyosemwa na Wamarekani ni ya ukweli.

Mbaya zaidi, yeye mwenyewe kaonyesha prejudice aliyonayo inayotokana na tajiriba yake binafsi [yeye na mkewe] na Marekani.

Hivyo, ni sawa mtu akisema kuwa hayo maoni yake yanasukumwa na prejudice alonayo.
 
Zamani za kale Bashite alialamba Viatu vya Riz 1, leo Bashite analambwa na Msando.
Kwa akili ndogo Msando ni Njaa tu, na karibuni tu, atamuacha Muuaji akilia peke yake

Dumelang
 
Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Mtu mmoja mwenye ndimi mbili....."kule unaunga mkono barua ya Msando huku unaunga mkono hoja za Ole Mushi".....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Halafu huyo huyo anaomba viza ya kwenda USA kama RC .Wanaka kwenye kikao wanawaita mabeberu kesho anaomba mkopo yaani vururuvururu.Raisi wa Nigeria nani alivyojibu kwa hakima tena amehaidi kufanyia kazi mapungufu.Kuishi ni kuelewa ndugu
 
Hivi wamarekani ni wajinga kiasi hicho?hadi wajibu makaratasi ya majalalani ? unafikili wana elimu ya shule za kata?
 
Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Nchi imechafuliwa na mabeberu!!? Toka lini Makonda akawa nchi ya Tanzania!!? Ama toka lini Magufuli na serikali yake wamekuwa nchi ya Tanzania!!?
Nchi ya Tanzania hawezi kufanya uhalifu dhidi ya wananchi!!
Mpunguze mahaba kwa watawala!
 
Huna lolote wewe mchumia tumbo, na kwa taarifa yako tu msubiri kibano zaidi ya hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Endelea kuwachuuza wenzio mkuu,km vp nawe andika waraka kuitetea nchi yako tukuongeze kwenye ban ili uwe mzalendo halisi kwa upande wa rangi yenu hiyo ya kijani.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Mwanasheria msomi hapa kachemka sana, anajibu barua hali ya kua yeye si kiongozi wa kiserikali,
Wanasheria muje mutoe muongozo juu ya hili likoje

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima kuwa kiongozi wa serikali. Ni woga wako tu unakufanya useme hivyo. Na hata Marekani wakiiona hiyo barua wanajua kabisa siyo majibu ya serikali na wala hawatayachukulia kwa uzito. Kwa kifupi ni kama amejifurahisha yeye na nafsi yake.
 
Huko CCM kila mtu ni papa
Inasikitisha!! Jana nimesoma utetezi wa le kibamia wa taifa(le mutuzi) jinsi anavyorukaruka kwenye kumtetea, makonda, aibu!! Njaa kitu kibaya sana!! Ila kwakuwa wameshagundua ukitaka cheo, awamu hii jifyatue akili kwanza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…