Je, ni sahihi msichana kuvaa nguo za ndani za kiume(boxers)

Kumekua na tabia ya baadhi ya wadada kuvaa nguo za ndani za kiume boxers na wameamua kunormalize kabisaa kiukweli hiki kitu upande wangu sikipendi na hata ikitokea nimeingia faragha na msichana nikimkuta na uvaaji huu huwa inanikata mood mno
Ni mazoea yako na utaratibu ulioukuta katika makuzi na malezi yako tu.Kwani ingetokea umekuta tangu utotoni mwako wewe (kiume)unavalishwa magauni,blauzi na viatu vya mchuchumio ungefanyaje?Ungegoma wakati ndiyo utaratibu ulioukuta?Ungekudhuru kitu gani?Hiyo ni sawa na jinsi ulivyoendelea na imani waliyoanza nayo wazazi au walezi wako tu.
 
Sitakushangaa kwa hili maana hata jina lako tu ni tosha. Nyie watu malastborn hamna dogo. Malastborn ndio watu pekee wanaweza wakaanza kulia kisa hajapewa kuku ampakate ucku, nyieo ndo viumbe pekee mnaweza kuamsha watu ucku wakugawie ucngz. Lastborn hata awe na miaka 70 huyo akili yake na gen z hakuna tofauti.
 
Dah🤣
 
Hili shambulizi ni kali mno 😁 haya turudi kwenye hoja tutoke kwenye mhemko
 
Back
Top Bottom