Je, ni sahihi msichana kuvaa nguo za ndani za kiume(boxers)

Humu kila mtu utaskia wife anavaa nguo zangu, halaf ukichunguza hao watu wenyewe hawana mbele wala nyuma na wanakaa kwa hisani za shemej zao kupitia utamu wa dada zao, kutwa nzima wanashinda kwenye efootball
 
Shughuli nzito
 
Mwanamke kuvaa nguo ya kiume tena ya ndani sio kesi kabisaaaa..
Mademu wameshakuja sana magetoni mwetu wametinga sana viwalo vyetu, pensi, singlend, bukta etc
bala ni pale wa kiume akavaa ya kike..
 
Tena akija nakude
 
Feminist kwenye ubora wake
Huu bado unaendelea kuwa mtazamo wako tu.
Mimi sipo ufikiriavyo.
Bado nasisitiza mwanamke wangu kuvaa boksa ya kiume siyo tatizo. Ila nitakushangaa wewe nikukuta umevaa thong au g-string sababu najua makende yako yatakuwa yamebanwa sana au yana ning'inia hovyo kwa pembeni.
Suala la maumbile tu. Makende na dhakari yako hazitasitiriwa vizuri kwenye hizo nguo za ndani za kike nilizotaja.
Ila mwanamke tupu zake zitafichwa au sitiriwa vizuri kwenye boksa ya kiume.
Just think man, think.
 
Walikua wanavaa gagulo na tulizirarua 😆😆😆 hata akivaa kaniki sawa tuu

Boxer haina shida
 
Huu bado unaendelea kuwa mtazamo wako tu.
Mimi sipo ufikiriavyo.
Bado nasisitiza mwanamke wangu kuvaa boksa ya kiume siyo tatizo. Ila nitakushangaa wewe nikukuta umevaa thong au g-string sababu najua makende yako yatakuwa yamebanwa sana au yana ning'inia hovyo kwa pembeni.
Suala la maumbile tu. Makende na dhakari yako hazitasitiriwa vizuri kwenye hizo nguo za ndani za kike nilizotaja.
Ila mwanamke tupu zake zitafichwa au sitiriwa vizuri kwenye boss ya kiume.
Just think man, think.
Sawa Mkuu nimekupata point yako
 
Back
Top Bottom