antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Picha?Kumekua na tabia ya baadhi ya wadada kuvaa nguo za ndani za kiume boxers na wameamua kunormalize kabisaa kiukweli hiki kitu upande wangu sikipendi na hata ikitokea nimeingia faragha na msichana nikimkuta na uvaaji huu huwa inanikata mood mno
Siku akiweza umeisha!..🤣Me wife anashindwa kuvaa mbupu zangu Tu
Kwani wewe si wa kike?Mbona mimi navaaga chupi na hujawahi kunihoji?
Roho mbaya tu! Kuhoji hiyo kwio?
Cc: secretarybird Mbaga Jr Lamomy
Haya mambo ya kunormalize vitu ndio yanafanya hawa watu wanakngezeka.Mwanamke kuvaa nguo ya kiume tena ya ndani sio kesi kabisaaaa..
Mademu wameshakuja sana magetoni mwetu wametinga sana viwalo vyetu, pensi, singlend, bukta etc
bala ni pale wa kiume akavaa ya kike..
Tayari ashapoteza meno ya mbeleHaya mambo ya kunormalize vitu ndio yanafanya hawa watu wanakngezeka.
Huyu unayemuona hapa ni mwanaume anaitwa Frank, Ni mbongo mwenzetu kijana mwenzetu lakini tayari tunacheza pungufu
Cc: cocastic
View attachment 3594460
View attachment 3594462
Tayari tunacheza pungufu, akatwe kende huyu, kisha tumtupie upande wa piliHaya mambo ya kunormalize vitu ndio yanafanya hawa watu wanakngezeka.
Huyu unayemuona hapa ni mwanaume anaitwa Frank, Ni mbongo mwenzetu kijana mwenzetu lakini tayari tunacheza pungufu
Cc: cocastic
View attachment 3594460
View attachment 3594462