Wanaweza kwenda kumwambia kesho asivae kama wakitaka, sisi shida yetu ni mtuhumiwa siyo rangi yakeNimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua brand ya Ajax.
Utashangaa siku nyingine watavaa za chademaWakivaa za CCM c mbayaa
Huko nje hata utuhumiwe kuua watu 100, unaenda mahakamani umevaa suti. Sijui wanaletewa na familia zao au mahabusu ndiyo zinawapa ila inasaidia kulinda heshima ya mahakama na ina faida kwa mtuhumiwa pia (innocent until proven guilty) na pia kuepuka masuala kama haya ya kuchafua brand za watu. Sisi watuhumiwa wanajivalia tu, watu wanaingia mahakamani na ndala.Umefikiria mbali,sikunotice Hilo!
Bora ingekuwa kesi ya Kawaida,hii kesi very sensitive.
Kwa wazungu hili jambo sio dogo.
Akili kubwa...πππHuko nje hata utuhumiwe kuua watu 100, unaenda mahakamani umevaa suti. Sijui wanaletewa na familia zao au mahabusu ndiyo zinawapa ila inasaidia kulinda heshima ya mahakama na ina faida kwa mtuhumiwa pia (innocent until proven guilty) na pia kuepuka masuala kama haya ya kuchafua brand za watu. Sisi watuhumiwa wanajivalia tu, watu wanaingia mahakamani na ndala.
Huwezi kufananisha Biashara ya Unga na ufedhuli wa hawa wajinga walioichafua Dola!Kama yule,aliyehukumiwa kwa madawa ya kulevya,akitoa alama ya "dole" huku amevaa jezi ya timu moja pendwa hapa Tanganyika,akiitwa kwq jina la utani" chonchi" ionekane timu hiyo inasapoti biashara haramu!
Au Mitano tena Mama Samia. Haipendezi kabisa.Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote.
Nimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua brand ya Ajax. Itakuwaje kesho mwingine akifikishwa mahakamani amevaa jezi ya Yanga au Simba, itakuwa sahihi? Vipi akifika amevaa t-shirt ya Vodacom? Tuliangalie hili kabla halijaleta shida huko mbele ya safari.
Na hili nalo mkalitazame.
Ulitafuna majani hani wakati unaandika hii Post! Nguo zote kwenye kola kuna nembo ya mtengenezaji sasa unataka watu wapelekwe uchi?Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote.
Nimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua brand ya Ajax. Itakuwaje kesho mwingine akifikishwa mahakamani amevaa jezi ya Yanga au Simba, itakuwa sahihi? Vipi akifika amevaa t-shirt ya Vodacom? Tuliangalie hili kabla halijaleta shida huko mbele ya safari.
Na hili nalo mkalitazame.
Ulitaka avae nini?Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote.
Nimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua brand ya Ajax. Itakuwaje kesho mwingine akifikishwa mahakamani amevaa jezi ya Yanga au Simba, itakuwa sahihi? Vipi akifika amevaa t-shirt ya Vodacom? Tuliangalie hili kabla halijaleta shida huko mbele ya safari.
Na hili nalo mkalitazame.
Haihusiani kabisaAu Mitano tena Mama Samia. Haipendezi kabisa.