Je, ni sahihi mtuhumiwa kufikishwa mahakamani akiwa amevaa mavazi ya timu au taasisi fulani?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote.

Nimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua brand ya Ajax. Itakuwaje kesho mwingine akifikishwa mahakamani amevaa jezi ya Yanga au Simba, itakuwa sahihi? Vipi akifika amevaa t-shirt ya Vodacom? Tuliangalie hili kabla halijaleta shida huko mbele ya safari.

Na hili nalo mkalitazame.
 
Nimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua brand ya Ajax.
Wanaweza kwenda kumwambia kesho asivae kama wakitaka, sisi shida yetu ni mtuhumiwa siyo rangi yake
 
Umefikiria mbali,sikunotice Hilo!
Bora ingekuwa kesi ya Kawaida,hii kesi very sensitive.
Kwa wazungu hili jambo sio dogo.
Huko nje hata utuhumiwe kuua watu 100, unaenda mahakamani umevaa suti. Sijui wanaletewa na familia zao au mahabusu ndiyo zinawapa ila inasaidia kulinda heshima ya mahakama na ina faida kwa mtuhumiwa pia (innocent until proven guilty) na pia kuepuka masuala kama haya ya kuchafua brand za watu. Sisi watuhumiwa wanajivalia tu, watu wanaingia mahakamani na ndala.
 
Akili kubwa...👏👏👏
 
Kama yule,aliyehukumiwa kwa madawa ya kulevya,akitoa alama ya "dole" huku amevaa jezi ya timu moja pendwa hapa Tanganyika,akiitwa kwq jina la utani" chonchi" ionekane timu hiyo inasapoti biashara haramu!
Huwezi kufananisha Biashara ya Unga na ufedhuli wa hawa wajinga walioichafua Dola!

Ukiamua kuwa Mlevi Poa.

Ukiamua kuwa Mzinzi Poa.

Ukiamua kuvuta Maryjane Poa.

Ukiamua kuvuta Shisha Poa.

Ukiamua Kuvuta Sigara Poa.

Huyu Binti amenajisiwa Bila Ridhaa yake!.na inaonekana kwa macho na Ushahidi DHAHIRI kuwa amenyanyaswa!

Angekuwa amefanyiwa Vile,Wanu,Mwanaasha au Salama,hawa watu wangekuwa wamechomwa moto.

"CHoNchi" kamfunga nani kamba akavute Unga!

Tuna Mabinti Zetu,na Dada Zetu.Tunatambua Umuhimu wa Wanawake hapa Duniani.

Haki itendeke,msilete ujinga hapa.
 
Yule mtoto kala uzi wa Ajax Amsterdam, aisee anaenda kuuponza sasa segerea
 
Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote.

Nimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua brand ya Ajax. Itakuwaje kesho mwingine akifikishwa mahakamani amevaa jezi ya Yanga au Simba, itakuwa sahihi? Vipi akifika amevaa t-shirt ya Vodacom? Tuliangalie hili kabla halijaleta shida huko mbele ya safari.

Na hili nalo mkalitazame.
Au Mitano tena Mama Samia. Haipendezi kabisa.
 
Ulitafuna majani hani wakati unaandika hii Post! Nguo zote kwenye kola kuna nembo ya mtengenezaji sasa unataka watu wapelekwe uchi?
 
Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote.

Nimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua brand ya Ajax. Itakuwaje kesho mwingine akifikishwa mahakamani amevaa jezi ya Yanga au Simba, itakuwa sahihi? Vipi akifika amevaa t-shirt ya Vodacom? Tuliangalie hili kabla halijaleta shida huko mbele ya safari.

Na hili nalo mkalitazame.
Ulitaka avae nini?
 
Back
Top Bottom