Anajifanya mgumu kichwa🙄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ni maamuzi ya mtu tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23] muongo huyo.Anajifanya mgumu kichwa[emoji849]
usingizi unakujaje ukilala uchi kwanza 😅😅
Nyie wewe na nani?Usiki sisi hatulali tunakesha kupiga kazi,
mchana sisi tunapumzika ila hatulali.
Mimi na dada yako. 😀😀😀Nyie wewe na nani?
Tahadhari kuu! Ukilala uchi kama mwanaume chondechonde usilale kifudifudi....