Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

Mshana kashaizinisha tulale uchi ila chondechonde kifudifudi usithubutu, style zingine we lala tu kifudifudi mwiko.
 
Ajiri mlinzi au fuga mbwa kama unaogopa majambazi...ila kulala uchi kuna raha yake.

Nikiwa ugenini ndo nalala na nguo ikibidi


Nakuonea wivu ile mbaya.....mimi hakuna kitu kinanishinda kama kulala ugenini na nguo maana nimezoea kulala UCHI kutokana na raha zake. Nikiwa ugenini nakosa kabisa usingizi, natokwa na jasho na kutetemeka huku nikionyweshwa maovu ya Jahanam jinsi ya watu wanavyolawitiwa kwa kuwa nimevaa nguo. Nawashauri wenzangu wake na waume tuendelee kulala uchi.
 
Siwezi na pia sitaki kulala uchi kabisa hasa nikilala peke yangu.

Hata nikilala na mwanamke nakuwa karibu na japo boxer na vest ya kutokea nje.
 
Unatakiwa uwe na angle unaweka nguo zako za dharura tuu!!

Likitokea tukio usiku sio uanze kupekua,


Verry true! hapa nilipo nimelala uchi, nguo pembeni ya mto tunguli yangu inapata upepo!
 
Wasaalam!.

Wakuu hivi mnawezaje kulala bila nguo yoyote( mtupu ) usiku mzima? Mimi hata nikilala na mwanamke nikimaliza tu lazma nitafte ka boxer nivae!.

Bila kuwa na mwanamke hapo lazima niwe na pensi ya Chelsea Sina mchezo kabisa.

Uzi tayari.
 
Back
Top Bottom