Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

Mzee mkeo/demu wako flatscreen nini?? Kama umeoa zigo utaelewa maana ya kulala uchi!!

Maana utajikuta saa mbili tu unamshawishi mkeo mkalale na hapo si ishu ya kubanjuka ila ile kukumbatia lile dubwana tuu.

Mungu atukuzwe na kupewa sifa zote!!
Lakini mleta mada amesema tu mwanaume kulala uchi hajasema aliyeoa au laa
 
Sasa balaa unakuta mwanaume umelala na mwanaune mwenzio vitanda vya 3*6 haswa vile vya mabibo hostel.. Alafu kidume unalala na mwezio uchi usiku ukijigusa unakutana na kalio alafu ndio saa 10 muda wa bombider kutoa saluti.. Hahahaah ila walio soma vyuo wanajua balaa ninalo lielezea hapa.. Tuache ujinga huo ukilala na mtu vaa nguo
 
Kulala uchi raha sana ila bahati mbaya ukitokea moto unaweza ukakurupuka ukiwa uchi wa binadamu Mungu apishe mbali. Kwenye mioto ya usiku wanaume huibuka na picchu za kike na vice versa na wengine huwa hawana hata picchu chezeya utamu wa uhai weye!

Ajiri mlinzi au fuga mbwa kama unaogopa majambazi...ila kulala uchi kuna raha yake.

Nikiwa ugenini ndo nalala na nguo ikibidi
 
MFANO HAI
Usiku wa kuamkia leo kuna kiwanda/mashine ya mbao imeungua hapa karbu na home(mtaona mapicha huko whatsapp) umeme ukakata moto unazidi kusogea mzee wa jiran alitoka na taulo likaanguka na alikua empty ndani, broo anatafta nguo haoni, alitoka amevaa shati kama kaptula, watoto(teen age) uchi. Sasa nyie endeleeni kulala uchi wanaume wazima mbaya zaid mabachelor
 
Sasa mwanaume unalala Uchi ili ugundue nini..!?? Afu unalala na mwanaume mwenzio ukutee... huo ni ushogaaa kama joto fungua mapazia.. Hata ukilala mwenyewe kwa nin ulale uchi bila hata boxer.... na hawa ni wanaume wa Daslaaam kuiga tabia za dada zaooo......[HASHTAG]#shwaiinn[/HASHTAG]
 
Tahadhari kuu! Ukilala uchi kama mwanaume chondechonde usilale kifudifudi....
Mshana usinikwaze, heshima yako kubwa. Waachie wahuni wachangie hii post. Ona sasa mambo ya kifudifudi siyo hadhi yako. Waachie wahuni wachangie
 
Aisee labda siku nikioa ndo nitashawishika kulala uchi, kwa kweli sikuwahi kuzoea hizo mambo!!

Ngumu sana kulala uchi jamani!
 
Mshana usinikwaze, heshima yako kubwa. Waachie wahuni wachangie hii post. Ona sasa mambo ya kifudifudi siyo hadhi yako. Waachie wahuni wachangie
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom