Je, ni sahihi Mwanaume kuwa na umbile kama hili?

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.

Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu. Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu ambayo wanawake wengi wanaitamani kuwa nayo..

Atakuwepo Arusha leo kutuletea nyanshi jiandaeni sasa.
Your browser is not able to display this video.
 
anapapaswa huyo
 

Mwisho wa Dunia sio mbali,, sodoma na gomora walianza hivi mwisho wake ilikuwa moto, soon moto utashuka kutoka mbinguni , ukiona haya jiandae , Yesu anarudi soon
 
Hiyo aliyovaa inasponji iliyoshonewa, anachofanya ni two in one workout
 
kwahiyo arusha atapokelewa na mwenyeji msambwanda mwenzake
 
Mwanaume huwezi tengeneza shepu ya kalio pasi na kuwa na walakini

Lazima kuna kitu unataka nacho kwa asilimia 0.1 tu ndio kinatofautiana na harakati za upinde, 99.9 lenu moja

Na hapo sijazungumzia kuhusu mtoa post, maana wamatumbi husema "birds of a feather flock together"
 
Sio sahihi kabsa kuna hormones zitakua haziko sawa
 
Yupo Arusha amewaletea namba 8 wanaume wenzake sijui anataka nini
 
Atakuwa analiwa huyu
Ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…