Je, ni sahihi Mwanaume kuwa na umbile kama hili?

Mwanaume huwezi tengeneza shepu ya kalio pasi na kuwa na walakini

Lazima kuna kitu unataka nacho kwa asilimia 0.1 tu ndio kinatofautiana na harakati za upinde, 99.9 lenu moja

Na hapo sijazungumzia kuhusu mtoa post, maana wamatumbi husema "birds of a feather flock together"
Wabongo mnakuza sana mambo! Huyo jamaa anavaa magodoro kama strategy yake ya marketing kuwavuta kinadada wanaopenda kuwa na makalio makubwa...ila wabongo akili ndogo mnaamini huyo jamaa hayo matako ni yake
 
Tangu nilivyomuona huyo jamaa mazoezi ya squats nimeyapiga chini, nowdays huwa nakiambia round kama 15,nakata tumbo toshaaa.
Kwa akili yako unadhani hayo ni makalio yake halisi? Huyo anavaa magodoro kuwapata kinadada wanaotaka makalio makubwa
 
Mwanaume ana seat kubwa namna ile asee
 
Noted na kwangu binafsi si sahihi, bahati mbaya kila mtu ana uhuru wa kufanya yake ilimradi asivunje sheria za nchi
 
Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.

Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu. Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu ambayo wanawake wengi wanaitamani kuwa nayo..

Atakuwepo Arusha leo kutuletea nyanshi jiandaeni sasa.
View attachment 3029701
Ila we atanzania kaili hamna sasa unavotuuliza sisi kwan mtu anatengenezwa kiwandani???
Au anaprintiwa

Tukuulize na ww
Ni sawa kwa mtu mzima kua na akili za kitoto hivi?
 
Seat yake umeiona kweli ndo mana nauliza Mwanaume kuwa na seat hii ni sawa?
 
Wabongo mnakuza sana mambo! Huyo jamaa anavaa magodoro kama strategy yake ya marketing kuwavuta kinadada wanaopenda kuwa na makalio makubwa...ila wabongo akili ndogo mnaamini huyo jamaa hayo matako ni yake
Sio muonekano tu hata tembea yake inaonyesha ni papai
 
Huyu mfanya mazoezi sijui kama ana lingine sasa mbona kumnanga !!?
 
Kwenye suala la maumbile mimi sitaki kumkosoa mtu sababu maumbile tunazaliwa nayo. Hakuna anayechagua azaliwe na maumbile ya namna fulani.

Lakini, kama mtu amefanya surgery kubadili au kuongeza maumbile fulani huyo nitamkosoa.
Yes sio kosa Lake kuzaliwa na makarios makubwa ila ni kosa Lake kuvaa kipedo kuonesha hilo kalio
 
Kaeni nae huko huko Arusha na Habari zake msituletee
 
Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.

Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu. Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu ambayo wanawake wengi wanaitamani kuwa nayo..

Atakuwepo Arusha leo kutuletea nyanshi jiandaeni sasa.
View attachment 3029701
Sio Kwa hili Yako🤣
 
Wabongo mnakuza sana mambo! Huyo jamaa anavaa magodoro kama strategy yake ya marketing kuwavuta kinadada wanaopenda kuwa na makalio makubwa...ila wabongo akili ndogo mnaamini huyo jamaa hayo matako ni yake
uongo
 
Back
Top Bottom