Je, ni sahihi Mwanaume kuwa na umbile kama hili?

Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.

Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu. Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu ambayo wanawake wengi wanaitamani kuwa nayo..

Atakuwepo Arusha leo kutuletea nyanshi jiandaeni sasa.
View attachment 3029701
Asa wanaume wameingiaje hapo kwenye kutengeneza shepu
 
Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.

Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu. Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu ambayo wanawake wengi wanaitamani kuwa nayo..

Atakuwepo Arusha leo kutuletea nyanshi jiandaeni sasa.
View attachment 3029701
Arusha sehemu gani? Na kwann amechagua Arusha Nani kamualika?
 
Tangu nilivyomuona huyo jamaa mazoezi ya squats nimeyapiga chini, nowdays huwa nakiambia round kama 15,nakata tumbo toshaaa.
 
sijui kwanini huu uzi upo bado licha ya zenye nafuu kuondolewa; hata malengo ya mwandishi kwa jicho kiroho sio kupasha habari.

mods amkeni mlinde 'adili'
 
Kwenye suala la maumbile mimi sitaki kumkosoa mtu sababu maumbile tunazaliwa nayo. Hakuna anayechagua azaliwe na maumbile ya namna fulani.

Lakini, kama mtu amefanya surgery kubadili au kuongeza maumbile fulani huyo nitamkosoa.
 
Tangu nilivyomuona huyo jamaa mazoezi ya squats nimeyapiga chini, nowdays huwa nakiambia round kama 15,nakata tumbo toshaaa.
Uoga wako tu.
Mbona sie twapiga squat mia daily na hatujaumuka makalio!?
 
Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.

Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu. Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu ambayo wanawake wengi wanaitamani kuwa nayo..

Atakuwepo Arusha leo kutuletea nyanshi jiandaeni sasa.
View attachment 3029701
Mbona ata maziwa makubwa?😀 atakua anafilwa
 
Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.

Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu. Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu ambayo wanawake wengi wanaitamani kuwa nayo..

Atakuwepo Arusha leo kutuletea nyanshi jiandaeni sasa.
View attachment 3029701
Don't believe everything you see you can take supplement and you can be physical stronger kama huyo wala usijidanganye ni mazoezi hvyo vidonge watu wengi wanakunywa think twice.
 
Bashite ajaenda kweli kuungana na jamaa kupiga squat kuongezo siti yake
 
Huyu anatakiwa achomwe moto..takataka kabisa..kila nikiangalia hii picture na video naona aibu kama mwanaume..nashindw kuitazama
 
Huyu jamaa alikuwa football player psl tena striker kabisa sasa ya mungu mengi
 
Back
Top Bottom