Je, ni sahihi nikimwambia baba mkwe matatizo yangu lakini mke wangu (mwanae) asijue?

Je, ni sahihi nikimwambia baba mkwe matatizo yangu lakini mke wangu (mwanae) asijue?

Inategemea ungedokeza ishu yenyewe kwanza.

Je, umezaa pengine nje ya ndoa

Huna hela umefilisika
Una magonjwa
Una shido gani kwanzo tujue tuone uzito wake mengine kweli ya kiume mfano kama huna nguvu hawezi kumwambia atakusaidia kwanza wapi utapata mkongo lazima akusaidie usiende kimoko chali.
 
Kufilisika mkuu
 
Kufilisika mkuu
Sasa baba mkwe atakubali mwanae aishi na mtu aliyefirisika?

Ukimwambia tu atamwambia mkewe na mkewe atamwambia mwanae. Hapo mama mkwe na mwanae wataanza kukusimanga na kumtafuta mbadala wako,kimya kimya bila wewe kujua.

Mwanamke siyo ndugu yako,Wala wazazi wake siyo ndugu zako,lolote linalokutokea,wao haliwahusu. Watasikitika kinafiki kisha unaanza kuona rangi halisi ya ukweni!!
 
Sasa baba mkwe atakubali mwanae aishi na mtu aliyefirisika?

Ukimwambia tu atamwambia mkewe na mkewe atamwambia mwanae. Hapo mama mkwe na mwanae wataanza kukusimanga na kumtafuta mbadala wako.

Mwanamke siyo ndugu yako,Wala wazazi wake siyo ndugu zako,lolote linalikutokea,wao haliwahusu. Watasikitika kinafiki kisha unaanza kuona rangi halisi ya ukweni!!
Ukweni kama hawanufaiki na ndoa ya binti yao hio ndoa haiwezi kudumu
 
Uhakikishe unamfahamu vizuri moyo wake.
Na iwe umefilisika kwa sababu isije kuwa umehonga.
Mh sio kuhonga nimepeleka hela yangu kwenye biashara ya mazao alafu mtu kanitapeli,lakini wife alishanionya ila mimi nikasema nafanya,so nikimfata wife kumuambia ataanza kutake advantage
 
Mh sio kuhonga nimepeleka hela yangu kwenye biashara ya mazao alafu mtu kanitapeli,lakini wife alishanionya ila mimi nikasema nafanya,so nikimfata wife kumuambia ataanza kutake advantage
Mnachekeshaga sana katika hiki kipengele hivi kwanini wake wakiwashauri jambo huwa mnaona kama hawajui lolote????

Yani mwanaume akikutana na mtu kaunta akampa ushauri ataubeba, atatekeleza kisha yanabuma anarudi kutia huruma, ni heri ashauriwe hata na mlevi, mke akikushauri unaona kama ana akili za kuvukia barabara tu..... Halafu hapa God huwa ni fundi mkifanyaga hivi wala huwa hayatiki

Pole sana, we na huyo mkwe mnaivana?? Yani mnaishi kiume?? Make kuna wakwe wengine nuksi.....

Akupige tafu ila hadi panya wa nyumbani kwake watajua, we na mkwe uhusiano wenu upo vipi???
 
Back
Top Bottom