Je, ni sahihi nikimwambia baba mkwe matatizo yangu lakini mke wangu (mwanae) asijue?

Je, ni sahihi nikimwambia baba mkwe matatizo yangu lakini mke wangu (mwanae) asijue?

Okay kama ni hivo sawa, kaa nae umshirikishe pole kwa changamoto.....

Siku nyingine msikilize na mkeo tunakuaga na mawazo na akili za msingi sana ni vile tu wengi wetu tumeamuaga kuwekeza kwenye ujinga zaidi ila sio kwamba hatuna akili.

Kwako Atoto 😁
Uko wapi
 
Huyo baba mkwe ana kifua?? Na je vipi anaweza atakusaidia au ndo hata kusaidia na kwenda kukusema kwa mama mkwe??
 
Back
Top Bottom