Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamwangusha naniHuyu atolewe kwenye kundi la Generation Z. Amewaangusha sana!
Uhusiano wetu ni mzuri tu,na setimes huwa analalamika kwamba nikipata shida kwa nini simuambii yeye ambaye ni mwanaume mwenzangu badala yake napiga kimya.Mnachekeshaga sana katika hiki kipengele hivi kwanini wake wakiwashauri jambo huwa mnaona kama hawajui lolote????
Yani mwanaume akikutana na mtu kaunta akampa ushauri ataubeba, atatekeleza kisha yanabuma anarudi kutia huruma, ni heri ashauriwe hata na mlevi, mke akikushauri unaona kama ana akili za kuvukia barabara tu..... Halafu hapa God huwa ni fundi mkifanyaga hivi wala huwa hayatiki
Pole sana, we na huyo mkwe mnaivana?? Yani mnaishi kiume?? Make kuna wakwe wengine nuksi.....
Akupige tafu ila hadi panya wa nyumbani kwake watajua, we na mkwe uhusiano wenu upo vipi???
Okay kama ni hivo sawa, kaa nae umshirikishe pole kwa changamoto.....Uhusiano wetu ni mzuri tu,na setimes huwa analalamika kwamba nikipata shida kwa nini simuambii yeye ambaye ni mwanaume mwenzangu badala yake napiga kimya.
SO mimi naona ni mtu ambaye anapenda nimshirikishe shida zangu kwa sababu yew ni mwanaume na anaexperience sana na haya maisha
Samahani mkuu! Nimeifuta hiyo comment kuwa na amani!🙏🙏Nani kasema matatizo ya mke wangu ? Mbona hamsomi vizuri wakuu.
Ni maswala ya kiuchumi, mahusiano au familia?Kivipisasa
wazazi wake siyo ndugu zako,lolote linalokutokea,wao haliwahusu.
Kama unaamini atakusaidia go aheadUchumi ndugu
Mkuu,Ukweni kama hawanufaiki na ndoa ya binti yao hio ndoa haiwezi kudumu
usiwaze kwanza kuhusu baba mkwe kumwambia mwanawe,Mh sio kuhonga nimepeleka hela yangu kwenye biashara ya mazao alafu mtu kanitapeli,lakini wife alishanionya ila mimi nikasema nafanya,so nikimfata wife kumuambia ataanza kutake advantage
Nimekupata vyema mkuuusiwaze kwanza kuhusu baba mkwe kumwambia mwanawe,
kua na uhakika kwanza atakusaidia ?
alafu tafuta namna nzuri umuelezee kilakitu kwamba mkeo alishakushauri ukafanya opposite, kwaiyo ajue pia usingependa mkeo ajue
yeye mwenyewe muelezee kwa namna ambayo ataona kama baba haina haja ya kumwambia binti yake